| 
A+ R A-

(13 votes, average 4.46 out of 5)

Pamela

Artist: SK Blue & Ringtone
Song: Pamela
Year: 2009


Verse 1 (Ringtone)
jamani inaniuma
mimi nikikumbuka
Pamela niliyemjua
sasa yeye huwa haeleweki
Sunday school tulishinda pamoja
shuleni tulikuwa kwa C.U
mpaka wakati tulimaliza shule
ndipo hapo tukapoteleana
alinifanya nimjue Mungu
juu ni yeye alinihubiria
mara yeye akaanza kuwaka
kanisani akapotea
sasa yeye huwa analewa
mtaroni pia analala
polisi wamemshika
pia wao hata wamechoka

Chorus
(Ringtone)

Pamela njoo kwa Mungu
bado anakupenda
ni nini kilichokufanya
kwake Mungu wee uhepe
(SK Blue)
tulienda shule pamoja eeh
naongea na Pamela
tulienda kanisa pamoja eeh
I'm speaking to Pamela
(Ringtone)
Pamela njoo kwa Mungu
bado anakupenda
ni nini unachotafuta
kwake Mungu huwezi pata
(SK Blue)
tulimjua Mungu pamoja eeh
uko wapi Pamela
usihepe njoo kwa Yesu eeh
I'm speaking to Pamela

Verse 2 (SK Blue)
I remember we used to go to church with that girl (the one I knew)
nakumbuka akisema ndoto zake that girl (the one I knew)
nini tena, maisha hivi hivi (the one I knew)
nini tena, kulewa hivi hivi (the one I knew)

I remember we used to go to church with that girl (the one I knew)
nakumbuka akisema ndoto zake that girl (the one I knew)
nini tena, maisha hivi hivi (the one I knew)
nini tena, kulewa hivi hivi (the one I knew)

Pamela, eeeh (the one I knew)

Chorus

(Ringtone)
Pamela njoo kwa Mungu
bado anakupenda
ni nini kilichokufanya
kwake Mungu wee uhepe
(SK Blue)
tulienda shule pamoja eeh
naongea na Pamela
tulienda kanisa pamoja eeh
I'm speaking to Pamela
(Ringtone)
Pamela njoo kwa Mungu
bado anakupenda
ni nini unachotafuta
kwake Mungu huwezi pata
(SK Blue)
tulimjua Mungu pamoja eeh
uko wapi Pamela
usihepe njoo kwa Yesu eeh
I'm speaking to Pamela

Verse 3
kanisani wanakuhitaji
ulikuwa wa maana
ukitaka maofu kuepukana
yuko Yesu anakuhitaji

kanisani wanakuhitaji
ulikuwa wa maana
ukitaka maofu kuepukana
huko Mungu anakuhitaji

Chorus
(Ringtone)

Pamela njoo kwa Mungu
bado anakupenda
ni nini kilichokufanya
kwake Mungu wee uhepe
(SK Blue)
tulienda shule pamoja eeh
naongea na Pamela
tulienda kanisa pamoja eeh
I'm speaking to Pamela
(Ringtone)
Pamela njoo kwa Mungu
bado anakupenda
ni nini unachotafuta
kwake Mungu huwezi pata
(SK Blue)
tulimjua Mungu pamoja eeh
uko wapi Pamela
usihepe njoo kwa Yesu eeh
I'm speaking to Pamela


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 2423 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)