| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Nimebadilika

Artist:Ringtone feat Silk
Song:Nimebadilika
Year:2008
Language:Kiswahili

CHORUS LYRICS:


Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya
Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya

VERSE 1 LYRICS:


Zamani nyi mmenijua, yani Bombolulu tukiwalipua
tulikuwa wakali kwa kuiba mali, kuvunja milango hata mitaa za mbali
Tuliibia wamama vibeti njiani bila kufikiria kama wangetulaani
Tulifanya wasichana watoke darasani kwa kuwapa mimba, kabaki matatani
Walipofukuzwa kwao nyumbani, tuliwawacha mataani wakilia jamani
Tulienda kwao usiku katikati, kupita dirishani twenda chumbani
Twarudisha asubuhi kupita msituni, sikuona ndoto na maono ya uzuni
Nilijua nitakuwa milele masikini, tangu Yesu Anijie nina mali moyoni

CHORUS LYRICS:


Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya
Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya

VERSE 2 LYRICS:


Nashikwa na wazimu naiba hiyo simu
najisambaza bila kuweza
Wakati mwingine mimi nashika koti ya huyu pia na mtoanisha
Masa akipika mimi hukishika kikoti chake pia naiba
alafu ninaita mabeshte sita kisha tunafika shopping centre
Muda ukipita tumetoka kukatika, tunabeba pombe kisha tunawaka
Zote nimewacha sasa nimechange yo!

CHORUS LYRICS:


Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya
Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya

VERSE 3 LYRICS:


Kama ni pombe, sigara, kuhanya, ndugu nimebadilika
Siendi Tembo, Mamba na pia Carnivore, nimebadilika
Nimeoshwa, nimetakazwa mama, nimebadilika
Ata pia wewe ukitaka dada utabadilishwa
Yesu Ndiye Alinishika, moyoni nimemuweka
Sirudi nyuma ninaenda mbele, namtumainia Yeye milele
Nilikuwa mi sina nyumba, Yesu ndiye Alinipatia
Ninakusihi pia wewe ndugu, gundua siri umfwate Yesu

CHORUS LYRICS:


Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya
Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya

Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya
Nimebadilika, ndugu zangu nimebadilika
Risto ya zamani nimechange ni kiumbe kipya

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 261 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)