" target="_blank">Listen to 'fadhili Zake ni za Milele
Artist: Ruben Kigame
Song: Fadhili zake ni za milele
Mshukuruni bwana, kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,

Mshukuruni Mungu wa miungu, fadhili zake ni za milele,
Mshukuruni Bwana wa mabwana, fadhili zake ni za milele,
Amefanya maajabu, fadhili zake ni za milele,
Aliumba mbingu na mchi, fadhili zake ni za milele,
Mshukuruni bwana, kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Mshukuruni bwana, kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Amefanya mianga mikubwa, fadhili zake ni za milele,
Jua litawale mchana, mwezi na nyota usiku, fadhili zake ni za milele,
Katandaza nchi juu ya maji, fadhili zake ni za milele,
Mshukuruni bwana, kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Mshukuruni bwana, kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Aliyegawa bahari ya shamu, fadhili zake ni za milele,
Akavusha waisraeli, fadhili zake ni za milele,
Aliyemshinda pharaoh na majeshi yake yote, fadhili zake ni za milele,
Mshukuruni bwana, kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Mshukuruni bwana, kwa kua ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele,
Yeye aliyetukumbuka, fadhili zake ni za milele,
Katika unyonge wetu, fadhili zake ni za milele,
Atuokoaye na watesi, fadhili zake ni za milele,
Kwa kua Mungu ni wa ajabu, fadhili zake ni za milele,