Artist: Reina ft. Nawiri
Song: Party Mwende
Chorus
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Verse 1
niaje tuna leta hepi, kama hauna dough we keti,
ingawa hamna maoni, nguo zimo mkononi,
dakika za songa hamuoni,
ee, tu dunde side gani,
pande zote zabamba, yaani party mwenda, njaro ya mitaani,
Chorus
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Verse 2
Raha zote, hakuna na basi, na mwendo ni wa kasi,
Ngoma ime tushika, tu denci,
Kujuana tu ndio kazi, machali, machali ka mnazi,
Tunywe ngano, tule viazi,
Watu wa pendane wazi wazi,
Party mwenda, bila wasi wasi,
Chorus
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Verse 3
Chile, alifungua mlango na mashaa aa?, ikani pandishia kichaa,
Anawaletea matamu, bila kutarajia na ongea madame vichapo,
Kipima na kiwango, mi na ni washika viono, nikicheza nao tango,
Party mwenda, twachapa muziki bila kupunguza kwa mtaa,
Ikikushika una vunjuka nao bila kuleta diambo,
Cheki corner zote vile jeshi na zi kwenda,
Moshi ikipepea utadhani kuna chomeka, utapenda,
Chorus (till fade)
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
Wakilisha kila mahali,
mashati tu tupa mbali,
Chemikali hamna swali,
karamu tamu ka wali,
| Next > |
|---|
