| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Raha ya Rap

Artist: Redwood
Song: Raha ya Rap
Album: Mziki ya Kwanza
Year: 2010
Record Label: Jomino

Intro

Redwood hapa,
ndani ya, beat ya,
Jomino (Jomino) twende….!!!

Chorus
Ni raha raha (eeh eeh) ya rap jo (ya rap jo)
Raha raha (eeh eeh) ya rap Jo (ya rap jo)
Ni raha raha (eeh eeh) ya rap jo (ya rap jo)
Raha raha (yeah eeh) ya rap jo (ya rap jo)

Verse 1
Hakuna msee addicted to rap Kama mimi,
Lakini usiniulize kwa nini,
Juu hii kitu ilianza tu zamani,
Wakati nikiwa tu utotoni,
Ilianzia nikiwa kanisani,
Na bado haikuishia chuoni,
Nilikuwa na mainspiration kibao,
Ndio unaona hata sikutupa mbao,
Lakini nilikatizwa jo na makarao,
Juu niliziandika hata kwa ubao,
Lakini odijo na mathe hawakunipongeza,
Eti hii kitu itawahi nipoteza’
Eti saa hio nilikuwa nateleza,
Lakini hawangejua ningekuwa noma,
Na hii kitu ambayo sitawahi koma,
Eeh eeh!sitawahi koma!!

Verse 2
Manze cheki venye rap hunishika,
Kila tyme jo Kalama nimeshika ,
Sidhani kama kuna wakati itafika,
Niache hii stori ya kukatika,
Saa zingine inakaa kubatika,
Saa zingine utadhani nimechizi,
Juu nina waziwazikama mwizi,
Na usisahau rap jo ni ka tizi,
Hasa kwa wasee wenye wako na virusi,
Na ushai ona venye rap inabamba,
Sana sana kwa wanaochuna ngomba,
Ndio maana rap haitawahi koma,
Juu inatushika jo na kutubamba,
Eeh! eeh! Na kutubamba.
Na… na kutubamba.

Verse 3
Manze cheki mdhii akitoka keja,
Mkononi imagine ameshika tenje,
Hata ka mfukoni manze hana ganji,
Bora anaskiza rap atakula kanjo,
Na si wasanii bado tunamake ganji,
Bora unarap haijalishi kiaje,
Ukispit na marhyme ziwakwachu,
Vinoma ka wasee huchuna mbachu,
Utashtukia una magari ka thirty,
Na single yako itakuwa chat,
Ukirap na yako ngoma ikuwe kali,
Expect jo utauza vighali,
Usipomake doh utamake mali,
Expecially ukirap kushinda Juacali,
Kuishi hii lyfe lazima ukuwe mkali.
Ndio umake money jo kiakili.

Chorus
Ni raha raha (eeh eeh) ya rap jo (ya rap jo)
Raha raha (eeh eeh) ya rap Jo (ya rap jo)
Ni raha raha (eeh eeh) ya rap jo (ya rap jo)
Raha raha (yeah eeh) ya rap jo (ya rap jo)

(till fade)

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 402 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)