" target="_blank">
LISTEN TO 'RATATAT'![]()
Artist: Ratatat & Sylvia
Song: Ratatat
Album: Operation Fagia I
Producer: Clement "Clemo" Rapudo
Verse 1
nazusha na hii mikrofoni
nikileta vitu za nguvu mnawika walai Ratatat ni sugu
iza beste
mkinileta juu eti nyof nyof nakuweka chini na hii rungu
nina nguvu shinda wewe
nawabeba juu unabaki kwani wee na teso ndio mandugu
hiyo ni yangu, yangu pekee yangu na Mwenyezi Mungu
ulifika majuu ata si kwa beste
ntakutoa rangi ubaki mweupe kama jungu
nawashika ka Homecup
umeshika nare ni ka umekula njugu
asalale
kuna Jua Cali ndio maana whack MCs wamo kanisani wana swali
kuja nami uone vile Calif Records inakwachu au sio Jua Cali
je nani katika na hizi ana swali
ni nini au ni mimi wee toa toa hizo vitu uziuze kama mali
acha kuji-do umeng'ara beste na uliomba hizo mavazi
ka ni kweli ka si kweli ruka ruka nami sema wazi
nani
na ni nani alisema madame hudanganywa na viazi
hiyo ni yako yako pekee yako weka kwa mfuko na unyamaze
Chorus
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
Verse 2
niki-bless mikrofoni whack MCs wanabaki kuwa horny
tembe ni mathreeva ndio maana wana-worry
nutty anabamba whack MCs wote ni wa-boring
si siri hii ngoma inawabeba mnaona mbili mbili
nilitoka underneath kisirisiri
rhymes zangu kali kama pilipili
naleta hii ngoma kama weapon na-suffer
kuleni kama last supper
ukiniona unahama
ona unakaa kama nugu
ka mbali nami au nikuite ndugu
nafanya watu kutoa suruali tena ya ndani
toka underneath kisirisiri
kweli nimetoka mbali
ona label yangu kwenye gari
nakupa vitu sure shinda wale, shinda wale...
Chorus
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
kwa jina ni Ra-ta-tat
tuko hapa na ma-rhymes
| < Prev | Next > |
|---|
