Artist:RapDamu
Song:Nipe nafasi
Year:2012
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Nipe nafasi nipe nafasi mimi
nipe nafasi nipe nafasi mimi
kama ni shida tushazoea
kama ni raha tushapitia
mnasema ni wakati, mnangojea nini
VERSE 1 LYRICS:
Wasanii ni wengi, ma-singer na ma-rapper
angalia nchi yetu sasa miaka ni mengi
nimekuwa hapa, kivipi tunajua na sasa
na bado sipritendi, naipa full plenty
idea ni kutafta mapeni so kuwacha mi siwezi
hii ndio ndoto yangu daily, niwe juu ya ferry na-seili
Kama ni shida nimeona nyingi bana
ni long time nimeshindikana
wanajua kuna ambaye anayeeza
endelea wanielewa
kama ngoma nishazitoa
kama collabo nishazifanya
wanasema kawaida nishasikia mengi
CHORUS LYRICS:
Nipe nafasi nipe nafasi mimi
nipe nafasi nipe nafasi mimi
kama ni shida tushazoea
kama ni raha tushapitia
mnasema ni wakati, mnangojea nini?...
VERSE 2 LYRICS:
Nimekutana na bonge la sister, bonge la miss...
hao wengine wako so wrong you're so right
una-shine kishenzi kama moon light
unanipa zile hisia fiti za good life
mtoto untouchable, tena amesoma so
hataki zile za so and so
anataka life fiti with a good man
anatafuta riziki si mashamsham
usikonde ushanipata mama ah
sina time ya hawa wasichana
nataka tutulie future tuipange sasa
na ma-blessings za maulana ah
Eti mashida ashazoea, hayo uongo ashayaskia
eti wasanii ashakemea yeye
CHORUS LYRICS:
Nipe nafasi nipe nafasi mimi
nipe nafasi nipe nafasi mimi
kama ni shida tushazoea
kama ni raha tushapitia
mnasema ni wakati, mnangojea nini?...
VERSE 3 LYRICS:
Nipe nafasi nipe nafasi [brother]
Nipe nafasi nipe nafasi [sister]
Nipe nafasi nipe nafasi [nimechoka kungoja]
Nipe nafasi nipe nafasi [serikali yetu]
Nipe nafasi nipe nafasi
CHORUS LYRICS:
Nipe nafasi nipe nafasi mimi
nipe nafasi nipe nafasi mimi
kama ni shida tushazoea
kama ni raha tushapitia
mnasema ni wakati, mnangojea nini?...
| < Prev |
|---|
