Artist: Rachel
Song: Listen O Lord
Verse 1
Nakuimba mi nitaimba
Kama Daudi akikatika
Sitajali ka utacheka
Utanyamaza roho akishuka
Haya maneno nakueleza
Pengine wewe huwezi elewa
Sa uncheka ati nimelewa
hii asubuhi na mapema
Kumbe hujuwi ni juu ya roho mtatkatifu sio roho mtaka kitu
Friday nitaenda Kesha hata ka mvua inanyesha bado mi nitawakilisha
aliyenipa hii maisha
Chorus
Thikiriria mwathani tugigwita
Tondu niwe mwene hinya wothe
Tukwihokete tondu nitoe
Gutire na Njamba ingi tawe
Verse 2
Nalia nacheka
Nakula natema safari nashindwa
Usaidizi naitisha
Napata pokea napewa ya kwanza ya pili ya tatu
Ninavyokunywa zaidi ndivyo ninavyozidi kupepea zaidi
Hang-over sipati kila siku ni party
Holy spirit yu katikati yangu mi na Kristo akinipa najipa msalabani alilipa
Nakunipa uzima nina waka bila shaka iwe mvua ama jua nikiwaka ni baraka
Naruka navuka mashaka naipenda ikiwa moto kunishika kwenye roho nisije nikawa baridi
sambaza injili, bambua uzima zinduka na spirit lakini iwe holy
tarumbeta ikilia naponyoka na Yesu
Tuki-gather
ushafika
Tukisifu
unashuka
Tunazunguka
hadi kuta za Jecicho zinaanguka
Chorus
Thikiriria mwathani tugigwita
Tondu niwe mwene hinya wothe
Tukwihokete tondu nitoe
Gutire na Njamba ingi tawe
Verse 3
Naamka early ka Mazrui
Kwa ajili ni Sunday
And on Fiday nilikesha Kan-Sani
Napanda van na si ya Hell-Sin
Nafika Church napata Word
Kuwa Mel shinda Gibson
Nani ana-make life kuwa better shinda Celtel,
Wacha ni-tell
Sio Bruce, Jina ni Christ the Almighty
Hautapata ZI nimefura!
Utapata nina furaha
nilifurahia waliponiambia twende
Siangalii nyuma
Baba gusa hii Kanisa
Fufua roho ya wana wako
Uwajaze na Roho yako walisifu jina lako.
Chorus
Thikiriria mwathani tugigwita
Tondu niwe mwene hinya wothe
Tukwihokete tondu nitoe
Gutire na Njamba ingi tawe
Thikiriria mwathani tugigwita
Tondu niwe mwene hinya wothe
Tukwihokete tondu nitoe
Gutire na Njamba ingi tawe
Gutire na Njamba ingi tawe
Gutire na Njamba ingi tawe
Gutire na Njamba ingi tawe
Tuki-gather
ushafika
Tukisifu
unashuka
Tunazunguka
hadi kuta za Jecicho zinaanguka
| < Prev |
|---|
