Artist:Rachael feat Samu(Gospel Fathers)
Song:Lazima
Year:2009
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Kwani ni lazima? si lazima
lakini ni lazima, ni lazima
kwani ni lazima? si lazima
si lazima, ni lazima
Kwani ni lazima? si lazima
lakini ni lazima, ni lazima
kwani ni lazima? si lazima
si lazima, ni lazima
VERSE 1 LYRICS:
Niibe nishikwe nifungwe
kubeba mchuma, shika panga
kuwa jambazi, kuwa gangster
kulala darasani kisha copy mtihani
mtaani tu majani, mogoka tu kangeta
shahada ni ya shada, ushuhuda ni kufwata kina dada
kwani ni lazima kupenda giza
sigara tu keroro usherati tu na pono
kisha ngono, ufisadi ofisini
ati kupata kazi na kufanya kazi
ni kuona la mdosi likiamka
CHORUS LYRICS:
Kwani ni lazima? si lazima
lakini ni lazima, ni lazima
kwani ni lazima? si lazima
si lazima, ni lazima
Kwani ni lazima? si lazima
lakini ni lazima, ni lazima
kwani ni lazima? si lazima
si lazima, ni lazima
VERSE 2 LYRICS:
Si lazima ni kuwe jogoo, afadhali kondoo
ni wake na wake ni wike mtaa
ni buy matight nishow kila bidhaa
niuze mwili ndio nipate chapaa
sio lazima uwe na chali ndio uonekane uko afadhali
chali sio lazima uwe na kamanzi ndio uonekane uko afadhali
ndugu si lazima kila siku pombe, eti unatoa matatizo yako yote
dada si lazima uishi Muthaiga ndio watu wakue na heshima kwako dada
manzi si lazima, chali ni lazima
kwani ni lazima, lakini si lazima
CHORUS LYRICS:
Kwani ni lazima? si lazima
lakini ni lazima, ni lazima
kwani ni lazima? si lazima
si lazima, ni lazima
Kwani ni lazima? si lazima
lakini ni lazima, ni lazima
kwani ni lazima? si lazima
si lazima, ni lazima