Artist: Q-Tah C
Song: Songa Karibu
Year: 2011
Producer: Clement 'Clemo' Rapudo
Record Label: Calif Entertainment Africa
Language: Kiswahili, Sheng
mama mia mama
mama mia mama
mama mia mama
mama mia mama
Chorus
ukitaka kucheza
ukitaka kucheza nami
songa karibu songa karibu
karibu na mimi
ukitaka kucheza
ukitaka kucheza nami
songa karibu songa karibu
karibu na mimi mama ndio
uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami
ndio uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami
ndio uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami mama
ale ale...
Verse 1
naona una-try kuwa shy
sijui kwa nini baby why
unaona ni sawa tusivinjari kwenye party
asubuhi na inaenda kufika
mimi na wewe hatujakatika
tayari DJ ana-play your favourite song
papari papa parara
Chorus
ukitaka kucheza
ukitaka kucheza nami
songa karibu songa karibu
karibu na mimi
ukitaka kucheza
ukitaka kucheza nami
songa karibu songa karibu
karibu na mimi mama ndio
uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami
ndio uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami
ndio uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami mama
ale ale...
Verse 2
najua kuficha siri kati yangu na wewe ma cherie
tunachofanya wawili isikusumbue akili
unachotaka kunipa, nipe
bei ninafaa kulipa nilipe
tayari DJ ana-play your favourite song
papari papa parara
Chorus
ukitaka kucheza
ukitaka kucheza nami
songa karibu songa karibu
karibu na mimi
ukitaka kucheza
ukitaka kucheza nami
songa karibu songa karibu
karibu na mimi mama ndio
uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami
ndio uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami
ndio uwe nami, uwe nami
uwe nami, uwe nami mama
ale ale...
| < Prev | Next > |
|---|
