Artist: P-Unit & Gaza
Song: Uskonde
Album: Wagenge Hao
Year: 2011
Producer: Eric Musyoka
Record Label: Decimal Records
Language: Kiswahili, Sheng
Verse 1 (Frasha)
unakumbuka Omosh, beste ya Kilosh
Beste ya Gitoshe, ule wa Gikosh
alitokanga Gikosh akaingia biz ya ku-wash
alikuwanga na madredi akipita anaitwa Tosh
juzi alidedi nadhani ako na Wiki Mosh
kwa mazishi yake jamaa nilishangaa
kwa mtaa yao hakuna mavijana
ni watoi macucu na maguka
ukimwi utatumaliza si vijana
kila mahali makaburi zimejaa
watoto nao wanalala njaa
juu wazazi wao wote walishanya
machozi yakaanza kunitiririka
uchungu moyoni nikahuzunika
tujikinge kumeharibika
nikifa, nani atakanizika
Chorus (Gaza)
uskonde
hata kama maisha imekulemea
uskonde, uskonde
uskonde
hata kama maisha imekulemea
uskonde, uskonde
Verse 2 (Bon'Eye)
namjua Terry, yes yule Njeri
Terry Njeri, ocha kwao Nyeri
after high school piga guu straight jiji kuu
ingia chuo kikuu, saka makuu
era za Ubako sio mabaki ya masonko
Koinange sonko, mtaa anakaa mbusi
kutokea viboko, chali yake Georgie
king kong wa jiji, mdosi wa mapinchi
life yake ping pong, bora shilingi
za gava na ngingi ndizo mingi
hashikiki, hashiki calls Njeri ana ball
skies zina-fall Godi Lord aka-call
mabaya pass by, mazuri come by
works akawai, msoto bye-bye
shida zika-fly by so
vuta chozi baby usione haya
sio story zote mbaya huisha mbaya
Chorus (Gaza)
uskonde
hata kama maisha imekulemea
uskonde, uskonde
uskonde
hata kama maisha imekulemea
uskonde, uskonde
Verse 3 (Buganya)
dame alimada chuo akaanza kusaka jo
sonko akadai kum-beat ndio amge job
alijipea alipitiwa miezi kadhaa alibeba ball
alichujwa works alishindwa vile ata-do
mi beste yake kagudu nikamshow ni mtundu
anapenda kadudu atapata mdudu so
alihepa home akaanza ishi K-Street
maboyz, mabuda, masonko walim-mistreat
walim-beat wakamwacha kwenye street na stress
dame alibaki hopeless, homeless
kataka kuji-mess but God akam-bless
nine months later ali-get kamkidi
life ika-change alianza kuishi fit
mabeste walimtaka wakaanza kuji-fix
life iliwa-defeat na wote wali-beat
aliye juu mngoje chini, aliye chini time imefika
Chorus (Gaza)
uskonde
hata kama maisha imekulemea
uskonde, uskonde
uskonde
hata kama maisha imekulemea
uskonde, uskonde
| < Prev |
|---|
