Artist: Proff ft Mejja & ktisa
Song : Kenyan
Year: 2011
Language: Kiswahili
Chorus
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be kenyan
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be Kenyan!
Verse1
Ju sisi wote tuko simple, kidogo tafauti na wengine ju ya lugha,
Number moja duniani katika michezo, iwe kwa raga ata pia kwa riadha,
Ndio maana sisi tuwajivunia, kua Kenya ingawa kuna vile twa umia,
Lakini mbele ya watu hauwezi jua tuko na shida, no no no!
Twa tabasamu kila mara ye ye ye,
alafu tunapenda soccer toka zile days za kadenge na mpira,
Alafu tuna penda soccer, toka zile days za kitambo!
Chrous
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be kenyan
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be Kenyan!
Verse 2
Ka si Kenya ,ungekua nchi ingine unapigana,
na ka si Kenya, mimi na wewe hatungejuana,
Nchi yenye amani na watu wanapendana,
karibu Kenya kuna diverse culture,
Kuna wagenge, kapuka, na warasta (wat man)
Benga, mugithi na maraga, eh,
Ukitaka ketepa chai, unaenda Limuru,
Ukitaka ketepa mairogi ,unaenda meru!!
Baadaye unaenda swimo,, (wapi) Nairobi River, ama lake Victoria ukule samaki hauwezi maliza,
Ukitaka kubarizi, unaenda lake Naivasha, ama lake Turkana uende uone mamba,
Ama Nairobi ukule nyama choma bama,
siwezi sahau mwanangu waenda Mombasa, unaingia rahisi, kutoka utaomba msaada (asala-ala)
sitoki Kenya, mi nitatoka niki kufa! (wokwonkwo)
Chrous
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be kenyan
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be Kenyan!
Verse 3
Tunapeperusha bendera ju tuko proud to be Kenyan,
tuko hustle, kuhustle, toka January to December,
tushike watu tukwachu kutoka Nai hadi mandera, tuishi kwa amani na hela,
nataka mshikaji wangu kwa keja, kwa faraja na dhiki awe nami bega kwa bega,
na nikimgusa anavyopenda apumue kama vuvuzela, ju ako proud to be Kenyan,
I pledge my life for, Kenya, like my fore fathers who lost their lives for, Kenya,
Madaraka ikapatikana ni kama tumepanda one for, kazi kwa vijana na pia, cash flow,
Walipatikana na tu kabonga poa, nikamsikiza joe, katiba of course,
Nika walk across na nika piga cross, nikafunga ndoa na angel wangu of course,
Chrous
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be kenyan
Ka we unajua unatia bidii,
ka we unajua unampenda mtu,
ka we unajua una hustle na uko proud to be Kenyan!
Na uko proud to be Kenyan!
Na uko proud to be Kenyan!
-
|Registered |2011-10-06 11:39:06 ezyi find this song inspiring!! hopefull kinda!
| < Prev |
|---|
