| 
A+ R A-

(2 votes, average 3.50 out of 5)

Nikiwa Ndani

" target="_blank">LISTEN TO 'NIKIWA NDANI'

Artist: Prince Adio
Song: Nikiwa Ndani

Chorus

nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki

nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki

Verse 1
kelele zako ni za bure
mimi leo nakuambia
ya nini kunitukana
kunichukia
ndani kunikaribisha
karibu kuniambia
kisha ukanifukuza
ukasema toka
si neno, si neno
mwenzio mi naumia
moyoni, moyoni
nimeamua

Chorus
nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki

nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki

Verse 2
hutaki kufikiria
naona umechizika
matusi kunifokea
hapo nyumbani
afadhali nijitoe
mwenzio nitoke nje
hata ulie machozi
sirudi tena
unaruka
mbona kwako hutulii
waenda nyumba kwa nyumba tabia gani jamani
usiku mchana sikosi mwako mdomoni
hodi hapa, hodi kule, mambo ni yale yale

Chorus
nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki

nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki

Verse 3
nikiwa ndani
aah, aah, aah
nikiwa ndani
aah, aah, aah

nikiwa ndani
aah, aah, aah
nikiwa ndani
aah, aah, aah

I wanna know how deep is your love
sio mimi nijitesee
darling, you drive me crazy
mi nta-die
I will never
let you down
I want you to be my baby
I promise
and I swear
hauta-cry

Chorus
nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki

nikiwa ndani
wapiga kelele
nikitoka nje
unanung'unika
kisha wasema
mimi sikupendi
nawe ukipendwa
haupendeki


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1234 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)