Artist: Prince Adio
Song: Mto Wangu
Chorus
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(mkono wa tamani),
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(na mkono wa tamani)
Verse 1
Ni wangu mwenyewe, kwa watu nimenunua, jinsi nilivyo upata, sio rahisi wenzangu,
Nimeuza kila change, ili mto uwe wangu,
Mbona wanipa mawazo, ili mimi ni udhike, niachieni mwenyewe,
Mto ni wangu!
Chorus
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(mkono wa tamani),
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(na mkono wa tamani)
Verse 2
Songeza mto karibu, mkono utaumia,
Usingizi sita upata, sitaki kuangaika,
Na tafadahali mto usiniibie,
Vile ndio kazi kwenyu, mto ni wangu si wenyu,
Mi na yeye bila shaka twapendana,
Mto wangu sasa mmeanza kufuata, mnafaa kujua shida nilizopata,
Mbona sasa munaleta gos gos,
Wacha usiku usingizi si lali, si pati,
nawaza mto wangu msha uweka kwenye party,
na mambo zenyu ni zile za udirty, sitaki kudata, sasa wewe uta data!
Chorus
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(mkono wa tamani),
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(na mkono wa tamani)
Verse 3
Mama usinipige bure sababu ya shemeji!
Mama usinipige bure sababu ya shemeji!(Mama usinipige bure sababu ya shemeji!)
Mama usinipige bure sababu ya shemeji!
Nilikua nime lala, kaja usiku ka niambia twende (alaa! Wapi)
Chorus
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(mkono wa tamani),
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(na mkono wa tamani)
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(mkono wa tamani),
Ningeulalia mto na mkono wa tamani,(na mkono wa tamani)
Mto wangu, na utamani!
Mto wangu, na utamani!
Mto wangu, na utamani!