Artist: Prezzo ft Talia
Song: Wanantaka
Chorus
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Machali wao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Majamaa wao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
Verse 1
Madame wakiniona hawa wezi ku resist,
Kama nakupenda, na ku promise ni takupa tongue twist,
Sita ku diss miss, sita reject your kiss,
Na usiku tukipatana tuta do it like this,
Zima taa, washa msumaa, vua hiyo thong anza kukatika,
Zima taa, washa msumaa, vua hiyo thong anza kukatika,
Bridge
Anasema, slow down prezzo unaniroga, umehit the G-spot ndio maana nakutaka,
Anasema, slow down prezzo unaniroga, umehit the G-spot ndio maana nakutaka,
Chorus
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Machali wao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Majamaa zao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
Wani penda manze, sio uwonga,
Wani nitaka manze, sio uwongo,
Wani penda manze, sio uwonga,
Wani nitaka manze, sio uwongo,
Verse 2
Madama wana nipenda kweli, wana nitaka,
Na wakiniona mara ya kwanza wanataka kunata,
Pata pata potea, wata wata potea,
Kwa kweli mimi madame tutazidi kupendana,
Ndio maana nina sema, madame wananipenda,
Ndio maana nina sema, madame wana nitaka,
Ndio maana nina sema, wakijipa wana pagawa,
Niite Mr. lover, Mr. lover,
Niite Mr. lover, Mr. lover,
Niite Mr. lover, Mr. lover,
Chorus
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Machali wao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Majamaa zao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
Verse 3
Sasa poeni chini, ni wape story, nili kua kwenye free na enda shopping,
Kupark dinga, dinga ingine ika come,
nika muona dame Fulani na fala Fulani wana roll down, down, down my way,
nika sema okay, alright its my day,
sasa ngoja ni waonyesha jinsi navo play,
nika tuliza kusudi wanipite,
kuni pita dame akani bonyeza,
nika sema dame, kwako ninaweza,
its just a shame muko pamoja, but maybe next time tutaonana,
Chorus
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Machali wao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
Madame wakiniona wote wana wika,
Mamanzi waki nicheki, wote wanakatika,
Majamaa zao wakiniona wana babaika,
Hawani wezi, madame wananipenda,
| < Prev |
|---|
