| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Mahangaiko

Artist: Prezzo ft Talia
Song: Mahangaiko

Chorus
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu

Verse 1
Ewe Mola wangu, uliye juu mbinguu,
naomba unisikilize, na kulilia wewe tu,
hamna mwingine, hamna pengine pa kwenda,
hamna mwingine ambaye sikio ata tege,
kuni sikiliza shida zangu, hamna mwingine baba ni wewe tu,
sisi vijana, tuna ishi maisha magumu, anasa za dunia zina tu ua kama soo,
pesa, pombe, wanawake, vitu vitatu vinavyo tumaliza every day,
naomba utulinde, naomba utu kinge,
kwa jina ya yesu, shetani naye ashindwe,
naomba unilindie mama yangu, yeye ni kipenzi cha roho yangu,
siwezi wasahau uncle Will, uncle Giggz, uncle Musa, kijana amekua,
asante kwa kunifunza, vile maisha uenda,
sasa na hangaika na mahangaiko ya dunia,

Chorus
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu, (ewe baba yangu)
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu

Verse 2
Imekua miaka kumi tangu mzee aondoke,
Nime mchora mkononi, niwe naye pote, popote,
Najua yuko nasi tu, ila yeye ame pumuzika kule juu mbinguu,
Sio siri, kweli tuna mkumbuka kichizi,
 uchungu  tulio sikia familia ni mwingi,
mama naye akamwandama, imara naye akasimama,
kanilea hadi nime kua mukubwa, na sasa ni wakati wangu wa kumutunza,
kwani alinifunza kua dunia ni mviringo, leo kwangu  mimi, na kesho kwako,
sio utani, sio siri, binadamu tuna chuki,
wengine nao wanachukia, kwao wachawi,
usherati, soory, ushirikina, ushirikina masikini umewatawala,
lakini pepo zote tuna zikemea,
toka pepo, toka!

Chorus
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu, (ewe baba yangu)
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu

Verse 3
Jua limeshuka so dunia ni giza, na mbona hatuoni,
Kumba ukimwi inatisha, na huku inabisha kwenye milango yetu,
Knock! Knock! Nani huyo! Wewe nani? Ni mimi ukimwi, na nimekuja na beshte yangu TB!
Hii ni live bro, ukimwi sio utani, na uki cheza uta deadi na 2 kg,
Ji change bro, dhamini maisha yako ,
At the end of the day, utapata Baraka zako,
If it was meant to be, basi it will be so,
Lakini usianze we kuwashow ati life is easy, zi life is hard,
Ma trials and tribulations, zime kuwa tele,
everyday I get on my knees and pray,
kwani na hangaika like every day!

Chorus
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu, (ewe baba yangu)
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu

Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu, (ewe baba yangu)
Nahangaika, na mahaingaiko na shughuli za kila siku,
 tuna zo fanya wanadamu

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 532 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)