Artist: Pili Pili
Song: Dance
Verse 1
Nilikwenda club kula hepi, nika mcheki dada sawa,
huku dance floor akicheza kuku dance, akitingiza,
nika mkuta, (excuse me) baibe, mama mama e,
no kidding baibe, you are lovely, tingiza jamani. Tingiza e,
kati kati naumia e!
Chorus
wani tesa tesa mama e, wani ua ua dada e,
ni kupapasa mpenzi, tucheze dance, baibe,

ni kupapase mpenzi, tucheze dance, baibe,
Verse 2
Yo baibe boo, ni menoki figure yako,
Sasa leo ntaka kujua jina lako,
Ni shike mkono wa, mpenzi twende kwako,
Unipe love na kila kitu yako,

Verse 3
Ruka nami, mpenzi cheza danci,
Ruka nami, mpenzi cheza danci,
Ruka nami, mpenzi cheza danci,
(Mambo yawe lovely)
Ruka nami ,mpenzi cheza danci,
Ruka nami, mpenzi cheza danci,
Ruka nami, mpenzi cheza danci

Chorus (till fade)