">
LISTEN TO 'WAKATI WA KUOMBA'![]()
Artist: Evangelist Peace Mulu
Song: Wakati wa Kuomba
Album: Ombea Adui Wako
Year: 2007
Language: Kiswahili
Chorus
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
Verse 1
serikali itasimama kanisa tukiomba
mauaji yatapungua kanisa tukiomba
ukabila tutamalisa kanisa tukiomba
natangaza ni wakati wa kuomba
Chorus
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
Verse 2
nyumba zetu zitasimama kanisa tukiomba
ubakaji utapunguka kanisa tukiomba
na watoto wetu wapone kanisa tukiomba
tunataka wakati wa kuomba
Chorus
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
Verse 3
na shetani atatutii kanisa tukiomba
na magonjwa yasiyotiba yote yatapona
laana zitaisha kanisa tukiomba
ninasema ni wakati wa kuomba
Chorus
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
Verse 4
nyumba zetu zitasimama kanisa tukiomba
ubakaji utapunguka kanisa tukiomba
na watoto wetu wapone kanisa tukiomba
nahubiri ni wakati wa kuomba
Chorus
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
ni wakati, ni wakati wa kuomba
dunia inapotikiswa
ni wakati kanisa wa kuomba
| < Prev |
|---|
