| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Sina Hofu

">audio_icon_leftLISTEN TO 'SINA HOFU'audio_icon_right

Artist: Peace Mulu
Song: Sina Hofu
Album: Sina Hofu
Language: Kiswahili

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

usife moyo kwani ni ngumu unayopitia
pasipo na njia bwana Yesu atafungua
milango yote yaliyofungwa atafungua
usife moyo, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

unapatwa nayo, yamekuonea siku nyingi
daktari nao wameshindwa kukuhudumia
inabaki sasa unatamani heri ufe
usife moyo, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

kukosa kazi si kumaanisha hautapata
kuugua sana si kumaanisha hautapona
kabidhi Bwana mahitaji yako atatenda
usife moyo, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

wawaza sana kukuwa mama hauna kazi
mawazo mengi si kumaanisha utajisaidia
itabidi bwana njia zako atakutendea
usife moyo, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

usife moyo kwani ni ngumu unayopitia
pasipo na njia Bwana Yesu anafungua
naona ombi lako mama ni mtoto
ngojea Yesu, ye anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

umepatwa nayo yamekuonea muda mrefu
kuugua sana si kumaanisha hautapona
mkono wa Bwana si mfupi kukufikia
ondoa shaka, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

ondoa shaka moyoni mwako atembee nawe
ondoa hofu moyoni mwako atembee nawe
mateso yote unayopitia anaona
usife moyo, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

kukosa kazi si kumaanisha hautapata
kuugua sana si kumaanisha hautapona
mkono wa bwana si mfupi kukufikia
ondoa shaka, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika

sina hofu, sina shaka
kesho yangu, Yesu anashughulika


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 318 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)