">
LISTEN TO 'DAME NAWEZA PENDA'![]()
Artist: PBH (Samora, Tosh & Bari Bonds)
Song: Dame Naweza Penda
Year: 2010
Record Label: Ogopa DJs
Intro( Samora)
PBH (once again)
Wacha ma G wa explain chenye wanaeza like kwa dame
Verse 1 (Samora)
Wao husema looks cash na shag ndo tunaneed
Nasema love, trust na fun ndo na believe in
Love hakunanga cha drama na kufight
Kuumizana kisha ku call 9-9-9-
Nataka dame real and very understanding
Mpatient low tempered and never should be buggin me
Nikiwa job nasaka pesa, amejam
Ndo huyo kwa petrol station ananijijaza pressure (why)
Sura the best mlight na haana pimples
Smile fiti ya msapere na finishing ya dimples
Lifestyle easy straight and very simple
analike nikiplay na nikitickle hizo (ha ha ha)
Game serious kwa bed till i surrender
Na iyo upande nimejijenga for sure utanipenda
Ata kama me huwa msee wa kuteta teta
Huyo ndo dame nikiget naweza penda
Chorus(Tosh)
Hii ni type ya ule dame naweza penda
Kila kitu ni kwake na surrender
Katika maisha yetu
Tupendane bila swali
Hii ni type ya ule dame naweza penda
Kila kitu ni kwake na surrender
Katika maisha yetu
Tupendane bila swali
Verse 2 (Tosh)
Dame atanipenda ata kama sina dinga
Dame nikimpa yote hataanza kuringa ringa
Dame me naeza piga naye stori na kucheka
Na ananiambia kila kitu hakuna siri ameweka
Dame nikisota ata mabills ana clear
Dem anaunderstand zile shida me hupitia
Dem kila time na furahi kumpigia
na kwa nyumba anajua jinsi ya kunishuglikia
Skiza ma we ndo dame nataka
Ata ka sijakupata sitawacha kukusaka juu
Najua uko place unasikiza kile nasema boo
Tutapatana one day tuishi me and you
In life kuna vitu mingi sija accomplish
But Tosh atakutreat jus like a queen and thats a promise
Ata ka me huwa msee wa kutetateta
Hii ni type ya ule dame naweza penda
Chorus(Tosh)
Hii ni type ya ule dame naweza penda
Kila kitu ni kwake na surrender
Katika maisha yetu
Tupendane bila swali
Hii ni type ya ule dame naweza penda
Kila kitu ni kwake na surrender
Katika maisha yetu
Tupendane bila swali
Verse 3 (Bari Bonds)
Nataka dem natural curves (no no) imitation
Nikiwa wrong ananiright kama cd ya Imation
Dame anitamani ata ka sina money
Dame ka Giorgio tutaishi kwa Amani
Dame back to back kama lebo ya kappa
Dame anaeza do KC pia anaeza do Zappa
Dame so sweet amind me ni rapper
Vile me nimsweet namcover kama wrapper
Chorus(Tosh)
Hii ni type ya ule dame naweza penda
Kila kitu ni kwake na surrender
Katika maisha yetu
Tupendane bila swali
Hii ni type ya ule dame naweza penda
Kila kitu ni kwake na surrender
Katika maisha yetu
Tupendane bila swali
Outro
PBH (once again)
