Artist: Orenge marefaz ft Benady and mistake
Song: Heshma idumu
Verse 1
o.k, cheki hapa,
Am the type of rapper akiandikia beat ni right,
You know what I made off, mtu wangu,sishiki go down,ni na tip,
Run off kwa speed boat, kunishika ni kitu una dream off,
Nikicheki karao siezi branch off, lazima kudeliever na simadawa, na talk of,
Mi huandika hadi na doze off, and by the way kwa hizi keys siezi go off,
Am always genuine nika bingu simecome off, mtu wangu mi nimreal we ni noko,
Am top in the game nab ado haijakick off, kwa uanja kuna basa, mi ndio mesi,
Hats off, as a sign of respect, niko na hadi urenge, don’t mistake
Chorus
Cheki hawa marapa ni medali wanataka, na mistali wanahata, a, e!
Heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu!
Cheki hawa marapa ni medali wanataka, na mistali wanahata, a, e!
Heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu!
#@!$% ,tume juanga, #@!$%, kaa chini,
Verse 3
Naeza free style for hours, line moja kuandika inawatake hours,
Track ni yetu is ours, personality na share kwa studio mtu ingawa,
Wakicome wanaback down eleventh hour,
Beef pia wakileta niko ready nita nawa niwa work,
Labda wakule ndimu wakue sawa,
Wanafast lakini wako slow kama rush hour,
Ka ni wachafu mi ndio shower, ka ni wasick mi ndio dawa,
Wakicome wawili na wa break down ki twin tower,
Steroids na chuma unakua na power, but records ni memake man hauwezi break,
Mistake ni ku spit ka si dam ni lake, nisi popenda si origin ni fake,
Ka si cash ni cheque,
Always ni fact, niki go further obviously wata ni ita mistake,
Chorus
Cheki hawa marapa ni medali wanataka, na mistali wanahata, a, e!
Heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu!
Cheki hawa marapa ni medali wanataka, na mistali wanahata, a, e!
Heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu!
Cheki hawa marapa ni medali wanataka, na mistali wanahata, a, e!
Heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu!
Cheki hawa marapa ni medali wanataka, na mistali wanahata, a, e!
Heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu, heshma idumu!
-
|Registered |2011-10-06 14:42:47 tusqeeas in? what the heck!!don't get it!