| 
A+ R A-

(2 votes, average 3.00 out of 5)

Shauri Yako

">audio_icon_leftLISTEN TO 'SHAURI YAKO'audio_icon_right

Artist: Super Mazembe
Song: Shauri Yako
Language: Kiswahili


Nilikuelezanga ooh mama,
Fatou, wangu mama
Nilikuelezanga ooh mama,
Fatou, wangu mama

Mapenzie ya kwetu eeh
haita tawi hata mama
Mapenzie ya kwetu eeh
haita tawi hata mama

Tabia yako na yangu
haisikilizani
Tabia yako na yangu
haisikilizani

Unaona
unaona sasa we mama
Unaona
unaona sasa we mama

Unapenda kuvaa
Mimi sina namna Fatou we

Unapenda kula vizuri
Mimi sina pesa oh Fatou we

Nipe mali
Sizoe
Niuwe mutu
Nipate dawa ya feza
Niuwe mutu
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba

Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba

Niibe mali
Watanifunga
Niuwe mutu
Thambi kwa Mungu Baba

Kama hunipendi we
Uende lote mama
Kama hunipendi we
Uende lote mama

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako
Wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba
Siwezi kuua mutu mama
Thambi kwa Mungu Baba

Niibe mali ukitaka watanifunga mama
niue mtu
thambi kwa Mungu
Kama hunipendi bibi yangu
uende kwenu mama
Kama hunipendi
uniwache yangu mama eeh
Kama hunipendi
Sheri Mama wende lote

Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama

Ohhh Zena wangu

Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama
Ohhh wende lote mama

Zena wangu
Mtoto wa kwetu


Related lyrics

Comments (6)
  • omera
    mambo yote...
  • uls
    ...memory lane...NAIROBI for life...
  • shimuli
    am from angola but i love this song. africa tunes 4rever
  • derek
    i`ve always missed this song,it brings some good memories
  • crackle
    thanks so much
  • erwin
    Man, hiyi wimbo ni poa sana.
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1024 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)