| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Karubandika

" target="_blank">LISTEN TO 'KARUBANDIKA'

Artist: Orchestra Maquis Original
Song: Karubandika
Language: Kiswahili


kama wewe ungenipenda
kwa nini kunidanganya bwana eeh
kujibandika madaraka sio yako bwana wewe

kama wewe ungenipenda
kwa nini kunidanganya bwana eeh
kujibandika madaraka sio yako bwana wewe

nimesikia tetesi kuwa huna lolote hata kazi huna eeh
unazurura mchana kutwa eeh
kupita kurandaranda mitaani

nimesikia tetesi kuwa huna lolote hata kazi huna eeh
unazurura mchana kutwa eeh
kupita kurandaranda mitaani
kumbe hukuwa na uwezo wa kunioa ila kuniharibia maisha
heri kulialia, ukweli ulivyo kuliko kunidanganya

nikuelewe bibi eeh
babu eeh
uaminifu hapo uko wapi eeh
papa

nikuelewe bibi eeh
babu eeh
uaminifu hapo uko wapi eeh
papa

nikuelewe bibi eeh
babu eeh
uaminifu hapo uko wapi eeh
papa...

usinione pweke baba
usinione pweke baba

kwa kukubali wito wako
karubandika eeh
kwa kukubali wito wako
karubandika eeh

haya yote ni matatizo ya dunia baba
haya yote ni matatizo ya dunia baba

nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie
kumbe bwana yule
hana kitanda wala shuka
pa kulala hana
analala kwenye stand ya basi
pa kulala hana
anakesha kwenye kituo cha unda
karubandika yoyo
acha vituko eeh baba

usinione pweke baba
usinione pweke baba

kwa kukubali wito wako
karubandika eeh
kwa kukubali wito wako
karubandika eeh

haya yote ni matatizo ya dunia baba
haya yote ni matatizo ya dunia baba

nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie
kumbe bwana yule
hana kitanda wala shuka
pa kulala hana
analala kwenye stand ya basi
pa kulala hana
anakesha kwenye kituo cha unda
karubandika yoyo
acha vituko eeh baba

nilitaka kujitumbukiza ndani ya moto mie
kumbe bwana yule
hana kitanda wala shuka
pa kulala hana
analala kwenye stand ya basi
pa kulala hana
anakesha kwenye kituo cha uda
karubandika yoyo
acha vituko eeh baba

na akiingia kwenye baa
kazi yake kuomba bia
na akiingia kwenye baa
kazi yake kuomba bia

hana hata aibu eeh
sigara pia anaomba
mitaani na kwenye mastovu
hujitangazia kuwa yeye
ni mkurugenzi wa kampuni fulani oh
kumbe sivyo hivyo

usinione pweke baba
usinione pweke baba

kwa kukubali wito wako
karubandika eeh
kwa kukubali wito wako
karubandika eeh

haya yote ni matatizo ya dunia baba
haya yote ni matatizo ya dunia baba


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 976 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)