Artist: One II Moja
Song: Si Kitu
Wajifanya rafiki yangu, kumbe wewe adui yangu,
Na kuchungia kazi yako, huku wasema nakuibia,
Nikisomeshwa na dada yako, huna zushia na mtongoza,
Mbona wani chukia brother, just tell me why your making me cry,
Wani chukia in no time, after time,
Wakinicheki wanani diss, funny ,na wauliza why you hate me no,
Aa, why you hate me no, hamuniwezi no,
Flex like the eagle, like the caple and the bear no,
Get up everyday, a freshen up, career no,
Am tell you them enough, got them kayno,
Who know it no,
Matamushi yako rafiki, haya kuni pendeza,
Matamushi yako rafiki, haya kuni furahisha,
Siku dhani kama ungeweza, kuya fanya hayo,
sikudhani kama ungeweza kuya sema hayo,
okay, si kitu,
mimi ni mpita njia,
nitakwenda utabaki na wako, mliye zoeana,
si kitu,
mimi ni mpita njia,
nitakwenda utabaki na wako, mliye zoeana,
wakati ninapo nunua njumu fit, you hate me,
wakati ni napo peleka kwenye treat, upset me,
wakati ninapo kanga chapati, you hate me,
ninapo kanga kuku na wali,upset me,
ninapo endelea na mbele,you hate me,
ninapo kutana na pesa nyingi, unani ita mwizi,
wanao nisema, ni shauri zao,
siku moja mimi na waambia, waweze,
ubaya wana nitakia, hao wani letea,
ni kwamba ni kitulia, just tell me why you making me cry,
si kitu,
mimi ni mpita njia,
nitakwenda utabaki na wako, mliye zoeana,
si kitu,
mimi ni mpita njia,
nitakwenda utabaki na wako, mliye zoeana,
wana jifanya ati machali zako, huku wanaropokwa mastori za watu,
wana jifanya ati machali zako, huku wanaropokwa mastori za watu,
Matamushi yako rafiki, haya kuni pendeza,
Matamushi yako rafiki, haya kuni furahisha,
Siku dhani kama ungeweza, kuya fanya hayo,
sikudhani kama ungeweza kuya sema hayo!