Artist: Nonini
Song: Mtoto Mzuri
Album: Hanyaring Game
Year: 2005
Producer: Maich Blaq
Record Label: Southwest Records
Intro
Ooh, naskia ni ka naeza chukua mpenzi sabuni
niko tu katika hali ya kusafisha kuni
Chorus
mtoto mzuri kwangu asiwe malaya
mtoto mzuri hataki nimpeleke kahawa
mtoto kwangu
haoni haya tukimaliza kitanda yangu
twaruka shower
mtoto mzuri kwangu asiwe malaya
mtoto mzuri hataki nimpeleke kahawa
mtoto kwangu
haoni haya tukimaliza kitanda yangu
twaruka shower
Verse 1
Ushaona mtoto amesimama ka four point sita
aitwa limama ama anita
mrefu kidogo ameniacha ka three mita
nimpande ka maji kwa tap ikitoka kwa mita
mdogo mdogo anaeza nitingishia
nikiwa nyuma yake unaeza dhani mi ni mkia
imajin jo amefanya nikajimwagia
na anacheka nikimwambia nataka kumti-a
akaipita base kila mtu anapita nji-a
ta tabia zake uaezathani ye ni mlami
ngozi yake ni laini na ni rangi ya lami
macho ukimcheki ninawish ningekua ndani
ndani ya jeans yake
mahaga size yake
anipeleke kwake
aishi kwa mamake
kila Monday nimuamshe ngware
nimmange
Mate! Mate!
Chorus
mtoto mzuri kwangu asiwe malaya
mtoto mzuri hataki nimpeleke kahawa
mtoto kwangu
haoni haya tukimaliza kitanda yangu
twaruka shower
mtoto mzuri kwangu asiwe malaya
mtoto mzuri hataki nimpeleke kahawa
mtoto kwangu
haoni haya tukimaliza kitanda yangu
twaruka shower
Verse 2
Manze naeza like mtoto anapenda marap sana
sio mtoto mablues hapanaaa
SMS nikimtumiaga ni za kumangana
ma-phone sex ndio zetu usiku mpaka mchana
tuone nani anaeza imajin vitu za kifedhulifendhuli
ka Kenyanna na Jua Cali kwa mapenzi kihunihuni
pana taka msichana ananipenda sababu ya noti
nataka msichana ananipenda sababu mi humpa njoti
mara ka tatu at the same time amepiga magoti
uliona kwa tv alafu sa hivi unajifanya umenoki
hahahaha hahaha
kwa we ndio mi huacha mabeste wangu wakwende o.g
mtoto mzuri natulia naye mtaani
na haniulizagi nonini waenda na gari gani?
Gari gani? Gari gani ?
Kwenda panda matatu na usiniitishe fare tafadhali
mtoto mzuri ana sura nzuri tabia nzuri
nywele nzuri
na mdomo akifungua tu hivi
hainuki maiti ndani ya kaburi
Chorus
mtoto mzuri kwangu asiwe malaya
mtoto mzuri hataki nimpeleke kahawa
mtoto kwangu
haoni haya tukimaliza kitanda yangu
twaruka shower
mtoto mzuri kwangu asiwe malaya
mtoto mzuri hataki nimpeleke kahawa
mtoto kwangu
haoni haya tukimaliza kitanda yangu
twaruka shower
Outro
Yeah huyoo ndio manzi naeza like
eeeh angalau huyo ndio manzi hata naeza ita wife
ka unapenda mi na kupenda
ka unanilenga pia mi nakulenga
eeeh napenda mamanzi wote tu wale wa supa kidogo
wana mahaga mdogo mdogo ma-hoodrat na maselbzi tu strong
wao wanajijua
hao si watoto wazuri
kama we huwaka pia we si mtoto mzuri
lakini ka we huwaka we huwaka tu kidogooo
tu weni mtoto mzu-ri Maich Blaq eeh
south west eeeh
nonini eeh
im out baadaye yeeah
| < Prev | Next > |
|---|
