| 
A+ R A-

(1 vote, average 2.00 out of 5)

Keroro

" target="_blank">LISTEN TO 'KERORO'

Artist: Nonini
Song: Keroro
Album: Hanyaring Game
Year: 2006
Producer: Eric Musyoka
Record Label: Homeboyz
Intro
Yeah
we're recording
sawa cue me, twende tena
hii ngoma ni ya wale watu wanapenda kuenda ma-club huku Kenya
na wale watu wanaingianga club wanatoka asubuhi na mapema
na wale watu wanapenda kupewa
hata ka ni s___ ujidunge kwa m___ na uweke kwa hewa
another Homeboyz producshizzle
wajua nimeshindwa kusema jina yangu (Nonini)
wajua nimeshindwa kusema jina yangu (Nonini)
kwa nini, kwa nini
kwa nini, kwa nini
keroro, keroro
keroro, keroro
niko gauge jo
niko maji jo
niko keroro

Verse 1
hakuna kitu naona kwa hii club isipokuwa beer yangu na watoto
kwanza kwa counter kuna mmoja ananipiga usoro
namnyemelea huku nikista-sta-stagger
ananiangalia vibaya lakini mi najua, yuanitaka
mko wawili ama mi naona vitu zangu
ntaacha kuenda kwa mama Bima jo kukunywa ng'ang'u
wanukia poa kwani umejipaka nini
mmm, na na-hope hiyo umejipaka huko chini
asubuhi ikifika jo hii club mi sitoki
bila wee nimekukunja jo ndani ya hii koti
ebu simama kwanza nikague hizo vitu
nikiona zimesimama lazima jo ntakutibu
na zimesimama, lakini nikuulize swali
umevaa chupi ngapi jo hapo ndani
usiniongeleshe kingoso jo, kwani wee ni mlami
leo nimebeba CD zangu uh-uh, sidhani
Trust yangu haiko na bado waeza sema nami
sina Trust na bado waeza sema nami

Chorus
Niko gauge
niko maji
niko KEroro

Niko gauge
niko maji
niko ke-ro-ro

Niko gauge
niko maji
niko KEroro

Niko gauge
niko maji
niko ke-ro-ro

Verse 2
ammniotic fluid ndio huwanga ndani ya tumbo ya mamatha
lakini mi husema kitu moja jo
I'd rather ingekuwa ni keroro iko huko ndani ya tumbo
na nikishawaka huko ndani matha nampiga makumbo
leo nataka kuona kila mtu kwa club amewaka
tupa b___ na beshte jo o___
tutembee na magoti jo hakuna haraka
skizeni skizeni
nina mpango wa jet fuel
uko na roho? (iko iko)
sawa? sawa?
Sawa!
alafu tunaipeleka na chupa moja ya miti ni dawa
make sure trao kwa magoti umefunga na kamba kaza
baada ya kupewa jo kuwa ready kuharwa
na ka wee ni manzi jo kuwa ready ku___
kuwa ready kurusha maTimboots ka umezing'ara
stima imati imekupea kichuri ama kuchana
si tumezoea kuingia bar saa tatu usiku na wasichana
na tunatoka saa ya pili saa saba mchana
jo jamaa naskia kutapika
nataka kwenda home jo kutapika
ngoja, ngoja kwanza phone yangu iko wapi
phone iko wapi

Chorus
Niko gauge
niko maji
niko KEroro

Niko gauge
niko maji
niko ke-ro-ro

Niko gauge
niko maji
niko KEroro

Niko gauge
niko maji
niko ke-ro-ro

Verse 3
nikiamka asubuhi kila siku ni mkate na beer
nikiwa mgonjwa drinkwater bado ni beer
saa sita nimeingia home wife hajatuna ametulia
nikatoa nguo zangu mdogo mdogo nikampandilia
vile ana morale jo
anajua leo ni lazima atalia
nikampandilia lakini jo juu ya gauge nikasinzia
ndio maana bibi zetu siku hizi wanazusha
sabu ya kuwaka daily jo wameshindwa kuwachangamsha
hatuangalii
maslahi ya jamii
lakini daily ntakuwa keroro kwani
dunia nzima hakuna beer ka ya Nairobi
na ka wafikiria nakudanganya kaulize Robert Warobi
niko gauge, niko maji
mpaka nauliza Musyoka hii verse itaisha aje
Musyoka, hii verse itaisha aje
Musyoka, hii verse itaisha aje

Chorus
Niko gauge
niko maji
niko KEroro

Niko gauge
niko maji
niko ke-ro-ro

Niko gauge
niko maji
niko KEroro

Niko gauge
niko maji
niko ke-ro-ro


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 2336 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)