| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(1 vote, average 5.00 out of 5)

Heshma

">audio_icon_leftLISTEN TO 'HESHMA'audio_icon_right

Artist: Nonini & Bon'eye
Song: Heshma
Album: The Godfather
Year: 2010
Producer: Eric Musyoka
Record Label: Decimal Records
Language: Swahili, Sheng

Verse 1 (Nonini)

kuzaliwa... mwezi moja na mzee Ghandi
na mashujaa... wengine wengi tu zaidi
ndoto... kujisaidia kuepukana na mtaa
heshma... kwa mtaa ikamjenga kuwa star
California... mtaa moja, balaa
mahali ma-star... huzaliwa tu, kila saa
kuhama... aende aende wapi?
Calif... bado iko kwa hiyo moyo ndani
Genge... familia jo kuingia
Kenya... mzima mziki kuiskia
kama... kuuza unga kaanza polepole
hit... baada ya hit akawapa baada ya colle
rap... kupanda kule kukikucha
wengine... kando wajaribu kumchuja
kujiangalia... mbele akiwa kwa ukuta
mgenge... ndio amekuwa mzee wa nyumba

Chorus (Bon'eye)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)

Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)

Verse 2 (Nonini)
mziki kwangu ni kucheza tu chess
kaa chini... songa kwanza na all the best
karibu... tena kwa hii mchezo ya genge
masoja... wako wote pia walete
sacrifice... masoja wa mine mi sijawahi
defence... ndio wananipa tu nikuwe hai
frontline... ya mine pekee inatesa
mkipenya... kunifikia mtaweza?
ma-spy kibao mi huskia jo mkiongea
hakuna hunilipia bill hakuna mi hutegemea
isipokuwa mafans wangu naitanga wagenge
bila wao singewahi panda hizi ndege
maisha ishageuka siku hizi sipandangi Akamba
guess ndio maana waniitanga the Godfather
kimziki ukipenda niite bwana Mayor
bling ni awards juu ya meza si unamezea

Chorus (Bon'eye)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)

Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)

Verse 3 (Nonini)
kila kukikucha ndevu mpya inatoka
twazidi kuwa wazee tukitafuta njia ya kuomoka
wao husema ya tatu ni bahati fiti
kwangu ni foundation ndio inamaliza simiti
nimekaa chini nikabonga na beste yangu fulani
akani-show yuko na mi kila mahali
kwa hivyo nisikuwe na wasi wasi nisitie shaka
watakubali bado jo uko huu mwaka
mafia ni mmoja mi huwanga namheshimu
akisema nile machungu anala mpaka ndimu
simpigiangi simu siwezi jaribu
mi hupatana na yeye place fulani tu mausiku
kitu funny haniongeleshangi, hanipangi ganji
alinipa kitu muhimu zaidi ya hii kipaji
mafia ni God wangu nimemweka mbele
ndio maana waniitanga Godfather wa genge

Chorus (Bon'eye)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)

Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)
Heshma kwa mtaa kuanguka tulikataa, heshma (wagenge wanatambaa)

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 2206 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)