Artist:Njeri Kinuthia
Song:Nifanye nini
Year:2008
Language:Kiswahili
CHORUS LYRICS:
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Bwana Bwana asante
Roho roho asante
Jehova Jehova asante
VERSE 1 LYRICS:
Singekuwa nikitembea kama sio Wewe
Maisha ninayoishi sio maisha bila Wewe
Chakula mimi sikosi, mavazi pia wanipa
Haya yote ninayotenda ni juu Yako
Baba siwezi bila Wewe
CHORUS LYRICS:
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Bwana Bwana asante
Roho roho asante
Jehova Jehova asante
VERSE 2 LYRICS:
Uimbaji wangu ni kutoka Kwako
Nakushukuru kwa haya yote
Bila Wewe siwezi hata kamwe
Nikisimama bila Wewe nitaanguka
Nikitembea bila Wewe nguvu zitaisha
Nikijiongoza nitatumbukia
CHORUS LYRICS:
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Bwana Bwana asante
Roho roho asante
Jehova Jehova asante
VERSE 3 LYRICS:
Ndugu yangu na dada usidhani wajiweza
Maisha yako Mpe Yeye Akuongoze
bila Yeye maisha ni bure kabisa
Mwachie Yeye Akuongoze
Msalaba Wake ni mwepesi
Mwambie bila Yeye huwezi
CHORUS LYRICS:
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Bwana Bwana asante
Roho roho asante
Jehova Jehova asante
VERSE 4 LYRICS:
Bila Wewe siwezi, bila Wewe siwezi
Bila Yeye huwezi, bila Yeye hutaweza
Bila Wewe siwezi, bila Yeye siwezi
Bila Yeye hutaweza
CHORUS LYRICS:
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Bwana Bwana asante
Roho roho asante
Jehova Jehova asante
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Nifanye nini bila Wewe Bwana
Bwana Bwana asante
Roho roho asante
Jehova Jehova asante