| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Sura ya Malaika

" target="_blank">LISTEN TO 'SURA YA MALAIKA'

Artist: Nix
Song: Sura ya Malaika

Verse 1

kuku kuja bana wee
niambie nana wee
skiza bana wee
ni nini bana wee
ule manzi bana wee
amefanya nini wee
amenibamba wee

kuku kuja
niambie nana wee
skiza bana wee
ni nini bana wee
ule manzi bana wee
amefanya nini wee
amenibamba wee

Chorus
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo...
sura ya malaika
mbona wanitesa
njoo uwe wangu
wengine sitaki tena

sura ya malaika
mbona wanitesa
njoo uwe wangu
wengine sitaki tena

Verse 2
jina lake nani wee
Njeri bana wee
anakata bana wee
songa bana wee
ameumbwa bana wee
anachanganya bana wee
macho yake bana wee
malaika bana wee
ametoka wapi wee
sijui bana wee
si umwulize bana wee
nianze aje bana wee
manze cheki bana wee
sasa cheki bana wee
ana chali bana wee

Chorus
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo...
sura ya malaika
mbona wanitesa
njoo uwe wangu
wengine sitaki tena

sura ya malaika
mbona wanitesa
njoo uwe wangu
wengine sitaki tena

Verse 3
uwezo mimi sina
malaika ashachukuliwa
moyoni mi najua
yeye anifaa mi naumia

uwezo mimi sina
malaika ashachukuliwa
moyoni mi najua
yeye anifaa mi naumia

Chorus
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo...
sura ya malaika
mbona wanitesa
njoo uwe wangu
wengine sitaki tena

sura ya malaika
mbona wanitesa
njoo uwe wangu
wengine sitaki tena


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1015 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)