Artist: Nix
Song: Beba
Verse 1
Now Nix in the scene we bubbleling, hits from the lane, spend most of last year mumbling,
Talk about hustling, stay to me serve this tier,
Gonna keep the fans as stangling,
So now, such a darling,
First thing where you at? (tafaulio)
Get a beat, make a beat, do anything that will make your track dazzling!
This is what you get cheki Nix and marveling!
Chorus
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaii, aaaii,
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaa, aaaaii, aaaii,
Verse 2
Sikiza jo nikueleza, ni twisted ngoma jo imeni bamba viwicked,
Manzi jo ziana kata katika, ka hiyo ndio kuchill, mi sitaki,
Binadamu wajinga saa zingeni, muongaji huongwa kama fisi,
Yule napenda jo, hanitaki, lakini pia Yule pale, ni msafi,
Manze ni ngumu jo kua chali, kua mwachagua nani manzi,
Hawa wote hapa pia wasafi, au sio kuku iiii!
The mimi shika am the chiko, was in my mashizmo,
I got the hizmo, stop the lodjo and flow with this crew,
Eh, you have been hit this is cupid,
Chorus
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaii, aaaii,
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaa, aaaaii, aaaii,
Verse 2Nix
(Spanish Rap)
Chorus
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaii, aaaii,
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaa, aaaaii, aaaii,
Verse 3
Songea hapa, faster, dada,
Ikikubamba hiyo kitu, toka hasa,
Songea hapa, faster, mabeshte, bamba,
Ikikubamba hizo mikono rusha,
Songea hapa, faster, dada,
Ikikubamba hiyo kitu, toka hasa,
Songea hapa, faster, mabeshte, bamba,
Ikikubamba hizo mikono rusha,
Chorus
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaii, aaaii,
Eeee, aaaa sina ku beba,
Eeee, aaaa, aaaaii, aaaii,