Artist:Ngozi Nyeusi
Song:Kiongozi wa Upinzani
Year:2011
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Pinga tuli ndani ya fani na maswalli si utani
majani toka zamani, samahani
mko wapi wasani, dhahiri mashuhuri
hapa sioni uradi wenye turi na uzuri ila
kuna mistari yenye zari na uchori wakowapi Walumbi
hapa sioni uchimbi ninaona vitimbi
vyenye chimbi na ukwami, hawa watu hawaimbi chochote hawanambii jo
wako wapi Wazushi, waimbaji wenye vipaji
bado sioni vituji vyenye geji vya odadi
pande zote uzugaji wa miji
ndio huoni tulisawiji kuridi
mwaniskia mtoni kijijini
vilabuni, mitaani, usome kwa utate nisije nikutafute
tumia ata na mate uandike usifute
CHORUS LYRICS:
Wanauliza vilabuni mi ni nani
wanauliza mitaani mi ni nani
mi ni Ngozi Nyeusi, msanii
nawasha moto ndani ya hii fani
viongozi wa Wizani
VERSE 2 LYRICS:
Wasikilizaji msiudhike, leo nawaulizia
wala msibabaike, haki yetu natetea
ombi langu nisikie, sidhani nakosea
Wakenya wanateseka kila pembe ya dunia
toka Mombasani, Nairobi hadi Kisumu
vijana wamejilaumu, wakanipa jukumu
Ngozi Nyeusi ana mistari kama sumu
maisha sio magumu, walimwengu hudumu
nimejaa na wakikana wakibana nimekwama ndani ya sanaa tena
vijana na wasichana penda unachopenda
fwata roho yako, kimbiza ndoto yako
mpishe adui wako, amini Mungu wako
mi ndio mwenzako, naelewa matatizo yako, raha yako
munju mpelekee mpenzi wako
timiza haki zako, huu mziki ni wako
CHORUS LYRICS:
Wanauliza vilabuni mi ni nani
wanauliza mitaani mi ni nani
mi ni Ngozi Nyeusi, msanii
nawasha moto ndani ya hii fani
viongozi wa Wizani
VERSE 3 LYRICS:
kiongzi wa upinzani, wa fani, na wa bungeni
vilabuni mitaani gerezani
kote kote Afrika Kusini, kumejaa umaskini
na madini siamini, serikali zikiwa na madeni
Merikani Ujerumani, heri maswali siwezi kuyauliza
nitajipata kwenya giza, kutoka mi sitaweza
ningependa zaidi kukueleza
ila mtanipeza, huu mziki we utaucheza
nikizingatia nisisote
siwezi pendwa na wote ila nawapenda wote
mziki kwangu rafiki hunifaa ata kwa dhiki
naupenda naula, naulala nautunza
navaa koti, vibe city naelekea
kutafta noti, sitaki tena usoti
Ngozi, busy kama chizi
take it easy, nyeusi kama matusi, hatari kama virusi