Artist: Ng'ashville, Daddy Owen & Dunco
Song: Kaza Mwendo
Producer: Dr. Eddie
Record Label: Sisimka Productions
Language: Kiswahili
Chorus (Dunco)
kaza mwendo, wakati unapita
unayoyoma na bado unacheza
usife moyo, rafiki we jikaze
tutarukaruka na kusifu pamoja na malaika
Verse 1 (Ng'ashville)
vitu za dunia nimechill nimewacha nyuma
sitazirudia wala sitacheki nyuma
ninacheki huko mbele mi kwa aliyenituma
mwite Baba, mwite Yesu mimi namwita Muumba
hali ni kama nyumba mimi sitayumbayumba
wala sitacheki nyuma yaani huko nyumanyuma
nitafuata mimi maagizo alizonituma
nitavuma, nitaskuma neno lake nitaskuma
ka ni ku-go nita-go
everywhere, anywhere mi nita-go
from the east to the west, from the north to the south
everywhere that he wants mimi Ng'ash nita-go
Chorus (Dunco)
kaza mwendo, wakati unapita
unayoyoma na bado unacheza
usife moyo, rafiki we jikaze
tutarukaruka na kusifu pamoja na malaika
Verse 2 (Daddy Owen)
muda wayoyoma
sekunde dakika zinasonga kabisa
(ati nini) kabisa
na mimi ninawaza
nashindwa na mimi nina-wonder
nashindwa wewe
uko wapi sasa
wapi wee
wapi wee
wapi wee
wapi wewe wewe
Chorus (Dunco)
kaza mwendo, wakati unapita
unayoyoma na bado unacheza
usife moyo, rafiki we jikaze
tutarukaruka na kusifu pamoja na malaika
Verse 3 (Ng'ashville)
fitina, nyuma
uwongo, nyuma
hasira, nyuma
pesa, nyuma
pombe, nyuma
siasa, nyuma
raha zote za dunia mi nimeziwacha nyuma
ka fitina ziko nyuma
uwongo ziko nyuma
hasira ziko nyuma na pesa ziko nyuma
pombe ziko nyuma
siasa ziko nyuma
raha zote za dunia mi nimeziwacha nyuma
ka ni ku-blow nita-blow ka ni ku-go nita-go
everywhere, anywhere mi nita-go
from the east to the west, from the north to the south
everywhere that he wants mimi Ng'ash nita-go
fitina, nyuma
uwongo, nyuma
hasira, nyuma
pesa, nyuma
pombe, nyuma
siasa, nyuma
raha zote za dunia mi nimeziwacha nyuma
Chorus (Dunco)
kaza mwendo, wakati unapita
unayoyoma na bado unacheza
usife moyo, rafiki we jikaze
tutarukaruka na kusifu pamoja na malaika
| < Prev | Next > |
|---|
