| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Fanana Naye

" target="_blank">LISTEN TO 'FANANA NAYE'

Artist: Ng'ashville, Ba'mdogo, Dunco & Daddy Owen
Song: Fanana Naye
Album: System ya Kapungala
Year: 2010
Language: Kiswahili

Intro (Daddy Owen)

moto ya balokole
system...
ya coupe decaler
Ba'mdogo ndio maanake

Chorus (Ba'mdogo)
balokole tuimbe leo (nataka, nataka kufanana naye)
kila siku ya maisha (nataka, nataka kufanana naye)
kuhisi, kuimba, kubonga, kutembea
kutenda, kulomba, kupenda, kunyengela
kubamba, kulinda, kutenda mahengela (nataka, nataka kufanana naye)

Verse 1 (Ng'ashville)
watu wanalia, wanasema, wanasema
wanafanya, wanasema, wanafanya vitu kama
ulevi,
uwongo,
anasa na usherati
zimefanya wamemsahau ule Simba wa Yuda
lakini ninasema nitafanya nitatenda
nitatenda, nitafanya, nitafanya juu ntafanya vitu kama
kusifu,
kuomba,
kupenda,
ukweli
kwani mi nataka mimi
kufanana naye

Verse 2 (Dunco)
Yesu kwangu nasema nataka mimi sasa nifanane nawe
nataka mienendo yangu baba nifanane nawe
na mawimbi yakiniwaiwai Bwana Yesu nibambe
heey...
wooaah...
kizali kidogo
kizali kimwili
kizali kizame nyoso
nataka nifanane na wewe bwana

Chorus (Ba'mdogo)
balokole tuimbe leo (nataka, nataka kufanana naye)
kila siku ya maisha (nataka, nataka kufanana naye)
kuhisi, kuimba, kubonga, kutembea
kutenda, kulomba, kupenda, kunyengela
kubamba, kulinda, kutenda mahengela (nataka, nataka kufanana naye)

Verse 3
nakufa vyangu vyote
nakufa vyangu vyote baba
pokea pokea Yesu

kuhisi, kuimba, kubonga, kutembea
kutenda, kulomba, kupenda, kunyengela
kubamba, kulinda, kutenda mahengela (nataka, nataka kufanana naye)

Chorus (Ba'mdogo)
balokole tuimbe leo (nataka, nataka kufanana naye)
kila siku ya maisha (nataka, nataka kufanana naye)
kuhisi, kuimba, kubonga, kutembea
kutenda, kulomba, kupenda, kunyengela
kubamba, kulinda, kutenda mahengela (nataka, nataka kufanana naye)

Verse 4 (Ng'ashville)
watu wanalia, wanasema, wanasema
wanafanya, wanasema, wanafanya vitu kama
ulevi,
uwongo,
anasa na usherati
zimefanya wamemsahau ule Simba wa Yuda
lakini ninasema nitafanya nitatenda
nitatenda, nitafanya, nitafanya juu ntafanya vitu kama
kusifu,
kuomba,
kupenda,
ukweli
kwani mi nataka mimi
kufanana naye

Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 608 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)