Artist:New life crusade choir
Song:Njia panda
Year:2008
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Nimefika njia panda, nimefika njia panda
Nimefika njia panda, sioni njia
Nimefika njia panda, nimefika njia panda
Nimefika njia panda, sioni njia
CHORUS LYRICS:
Lakini ninajua neno moja
Yuko Mungu Anayeweza
Nikifika mahali pasipo njia
Mungu wangu atafanya njia
Lakini ninajua neno moja
Yuko Mungu Anayeweza
Nikifika mahali pasipo njia
Mungu wangu atafanya njia
Anaweza, Mungu wangu Anaweza
Anatosha, Mungu wangu Anatosha
Anaweza, Mungu wangu Anaweza
Anatosha, Mungu wangu Anatosha
Anaweza, Mungu wangu Anaweza
Anaweza, Mungu wangu Anaweza
VERSE 2 LYRICS:
Maadui wanapokuja, Mungu wangu Atafanya njia
Nitakapopita kwenye maji mengi, Mungu wangu Atafanya njia
Wabishi wangu wakifanya vita, Mungu wangu Atafanya njia
Ninamjua Jemedari wangu, Mungu wangu Atafanya njia
CHORUS LYRICS:
Lakini ninajua neno moja
Yuko Mungu Anayeweza
Nikifika mahali pasipo njia
Mungu wangu atafanya njia
Lakini ninajua neno moja
Yuko Mungu Anayeweza
Nikifika mahali pasipo njia
Mungu wangu atafanya njia
Anaweza, Mungu wangu Anaweza
Anatosha, Mungu wangu Anatosha
Anaweza, Mungu wangu Anaweza
Anatosha, Mungu wangu Anatosha
Anaweza, Mungu wangu Anaweza