" target="_blank">Listen to 'Ee Bwana ninakupenda'
Artist: New life crusade choir
Song: Ee Bwana ninakupenda
Verse 1
Ee Bwana ninakupenda, nakupenda, ninayo kila sababu ya kukupenda,
Umenitendea mengi ya ajabu,
Hata kulipa siwezi, Ee baba pokea sifa,

Chorus
Ninakupenda baba, ninakupenda,k ila ninapo kutafakari ninatetemeka,
Kwanini unidhamini mimi,mwana adamu,
Nina jua ni kwa neema tu, umenipenda,

Verse 2
Upendo wako kwangu ni maarufu, si wezi kulinganisha kamwe nao mwingine,
Wewe ni wa zamani maishani, nisaidie nisikuache nisonge mbele,

Ninakupenda baba, ninakupenda,k ila ninapo kutafakari ninatetemeka,Kwanini unidhamini mimi,mwana adamu,
Nina jua ni kwa neema tu, umenipenda,
Ninakupenda baba, ninakupenda,k ila ninapo kutafakari ninatetemeka,
Kwanini unidhamini mimi,mwana adamu,
Nina jua ni kwa neema tu, umenipenda,
Verse 3
Asubuhi ninaona fadhili zako, na mchana ninashu hudia upendo wako,
na usiku ninaona kupumzishwa, kila wakati mimi naona kufadhilika,