Artist: Neema Gospel Choir
Song: Siku ya Mwisho
Language: Kiswahili
siku hiyo ya mwihso (utamwona)
bwana Yesu akishuka (kwa winguni)
siku hiyo ya mwihso (utamwona)
bwana Yesu akishuka (kwa winguni)
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
siku hiyo kila jicho (itamwona)
kila goti itapigwa (mbele zake)
kila ulimi utakiri (Yesu ni bwana)
siku hiyo kila jicho (itamwona)
kila goti itapigwa (mbele zake)
kila ulimi utakiri (Yesu ni bwana)
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
nawe usiyeokoka leo (hukudhambi)
bwana Yesu akuita uje (uokoke)
utapata uzima (wa milele)
nawe usiyeokoka leo (hukudhambi)
bwana Yesu akuita uje (uokoke)
utapata uzima (wa milele)
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
tutaimba, tutaimba
hosanna
| < Prev |
|---|
