Artist: Neema Gospel Singers
Song: Mbona Hubadiliki
Verse 1
Umekua mkirsto kwa muda mrefu lakini mbona hubadiliki,
matendo yako si ya mazuri kila wakati watembea gizani,

Chorus
ndungu usidanganyika mungu adhilakiwi ,kile apandaye mtu ndicho atakacho vuna,

wewe, ndicho utakacho vuna,
wakati wako ndugu leo ubadilike, mpokee Yesu awe mwokozi wako,
yeye ana waita wote wenye mizigo, anasema kwa upole nita wapumzisha,

Verse 2
tazama wakati wa kutenda dhambi umeshapita, leo ubadilike,
siku za mwisho nazo zimeshafika, utajalia siku ile ya hukumu,

yeye ana waita wote wenye mizigo, anasema kwa upole nita wapumzisha
Verse 3
Mwana wake Mungu atakapo rudi imeandikwa hakuna ajuaye,
parapanda itakapo pigwa mwenzangu watenda dhambi watafiwa na moto,