" target="_blank">listen to 'Bwana ameniletea furaha'
Artist: Neema Gospel Singers
Song; Bwana ameniletea furaha
Bwana ameniletea furaha, ameniondolea mateso,
Nafsi yangu na roho yangu lisifuni jina la bwana,
Bwana ameniletea furaha, ameniondolea mateso,
Nafsi yangu na roho yangu lisifuni jina la bwana,
Asifiwe e,e, Bwana asifiwe,
Asifiwe e-e-,Tulisifu jina la bwana,
Mbingu na dunia tulisifu, jina la bwana,
Atukuzwe e-e, bwana atukuzwe,
Litukuzwe e-e, tulitukuze jina la bwana,
Mbingu na dunia tulitukuze, jina la bwana,
Nilipokua gerezani, kwenye kifungo cha shetani,
nilipo mlilia bwana, akanyoosha mkono bwana kaniokoa,
Asifiwe e,e, Bwana asifiwe,
Asifiwe e-e-,Tulisifu jina la bwana,
Mbingu na dunia tulisifu, jina la bwana,
Atukuzwe e-e, bwana atukuzwe,
Litukuzwe e-e, tulitukuze jina la bwana,
Mbingu na dunia tulitukuze, jina la bwana,
Shangilia yesu, shangilia yesu, ameeen!
Shangilia yesu, shangilia yesu, ameeen!
Shangilia yesu, shangilia yesu, ameeen!
Zome shetani, huuuyo!
Kucheza kwa Yesu, hakuna kosa,
Kucheza kwa Yesu, hakuna kosa,lolote
Kucheza kwa Yesu, hakuna kosa,
Cheza, cheza kwake Yesu, cheza mpka chini,
Cheza, cheza kwake Yesu, cheza mpka chini,
Cheza, cheza,cheza leo,chezea Yesu,
Tuinue mikono, tumchezee Yesu,
Shangilia Yesu,cheza leo,chezea yesu,
Tumuinuewe messaiah, cheza leo,chezea Yesu,
Hallelujah, amen!
Kucheza kwa Yesu, hakuna kosa,
Kucheza kwa Yesu, hakuna kosa,lolote
Kucheza kwa Yesu, hakuna kosa,