| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(0 votes, average 0 out of 5)

Jidai

Artist:Nameless feat Nyashinski
Song:Jidai
Year:2009
Language:Kiswahili

VERSE 1 LYRICS:
Definition ya kujidai ni kuwa the highest point of your body zaidi ya mapua
yani unaiweka juu as if, unataka kuwanusa tu
ama unakunja hiyo sura, mpaka hizo vichwa zinafura
kama ngazi yani raundi hii nikujidai waziwazi
hakikisha umeiva kama njiva, kujiskia as if una-own hii river
ati nani ana-own hii river? Anafeel high, ako juu, ameshiba
hiyo ndio feeling natafuta, yani shining kama futa
na mafans tukikutana we jua, ni kesha tu inakuwa for sure

CHORUS LYRICS:
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai
raundi hii najidai, raundi hii najidai
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai

VERSE 2 LYRICS:
Na kwa wale wasanii mlizaliwa juzi
mkikutana na mimi piga saluti
nimekula chumvi ki-MC
na sasa natafuta masters kama busters
ati mlitudiss, na sisi bado tunaendelea kuwa dismiss
bado mnapiga show mbele ya kioo sisi tukiunda doh, uliza klepto
na madem wetu wako poa, cheki venye wanajipodoapodoa
lakini bro usiambie Wahu, si unajua ni kujidai tu

CHORUS LYRICS:
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai
raundi hii najidai, raundi hii najidai
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai

VERSE 3 LYRICS:
Naileta live ka Larry King
sa mtani-saliva au mtani-salam ka salimin
Nyashinski Nameless collabo ni hot ka
ikiwahit ni ka bomb za ma-taliban
nawachezea tu, kaa kando uskie
vile mziki hufanywa unaweza kaa ama uishie
mpaka udedi utakuwa tu player hater
mi mpaka nidai nitametameta
nimeandika mpaka mistari mitaa
sa nafaa kuanza kuchora makali kejaa
ka Gado, najidai ju hujanigusa bado
we tuktuk, na mi Land Cruiser Prado
tuta race aje, lololo, you're so slow I make you look horrible
hii si mara ya kwanzaz kuniskia
Nyashinski kijana ana maring mi hujiskia

CHORUS LYRICS:
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai
raundi hii najidai, raundi hii najidai
Mi najidai, ata kama sijawahi najidai

Madem wako poda, na machali wako 'dust off your shoulder'...

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1059 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)