W
anafaa kuingia gym mara hio hio!1. Nonini
Roho safi haufai kuingiza mass haraka hivyo. Tukikucheki kwa vida ya Wee Kamu, ulikuwa kawa, mara tu tunakucheki kwa ile photo shoot ya Nonini clothing ukikaa Minister flani jo! Moyo wako itakuletea shida baadaye. Kataa hiyo weight!
2. Ulopa
Msee ka unataka kuimba juu ya kurogaroga madame hapa na pale, haufai kubaki umekonda hivo. Wakenya wataanza ma-rumours wana kawaida yao. Anza mazoezi uingize makilo kadhaa boss!
3. Shinde(ule dame wa Tatuu)
Wale madame wa Tatuu hu-insist kuvaa ma-outfit zenye zina-match, lakini kuna vile Debbie na Rabbo wako na figure zingine wazimu, na Shinde naye hakubarikiwa vile. Ka mtaendelea ku-match cladi, itabidi tu Shinde akate hiyo tumbo at least
, awache kujiaibisha kwa mavida na ma-concert.
Nimekosa kufikiria wengine. Pengine watu wangu mnaweza kunisaidia kurefusha hii list, ama niaje?
| < Prev | Next > |
|---|
