M
i huona kwa Project Fame, ile part hubamba kabisa inakuwanga auditions
. Kunakuwanga na wasee wengine hutokea hapo hivyo kujiaibisha tu. Na hizi vituko zu-happen kila mwaka. Msee akicheki hizi auditions za ufala, unashangaa, yaani hawa watu wamesimama kwa hiyo line kitu kama 2 hours hivi ndio wajitoe rangi mbele ya East Africa nzima? Ai, hapo ndio unajua kuna wasee wenye wako na mabeste wabaya. Ka wee ni boy wa msee ka huyo, akiku-show ati anaenda TPF ku-audition ile 'ngoma' yake ya Micheal Jackson, alafu umwache tu aende, wee ni mtu hivi hivi.
Kabla nianze kupeana hizi awards, wacha tu niseme kwanza niko disappointed juu nilikuwa na-expect Hellon abaki kama judge. Kale kamtu kananibambanga vile yujiona superstar(ati "Jazz Maestro Hellon"). Anyway, hawa wasee ndio walinibamba excess kwa auditions:
Best Imitation: Micheal Jackson/ Robocop
- "Bzzt! Bzzt! Micheal, I'm out! Punyao! Dushnyao! Wiu wiu wiu! Gotta go now Micheal!" Huu msee alinifanya karibu nijikojolee. Iko nini mtu wangu? Surely, SURELY? Best Reggae: Lucky Dube - Kusema ukweli, wanafaa kukataza watu kufanya reggae kwa TPF. Watu wamejiaibisha sana wakijaribu kuimba reggae kwa hizi auditions, lakini huu msee mwenye aliimba ngoma ya Lucky Dube ndio alishinda, wa! Niko sure Lucky Dube alikuwa ana-wish tu ange...

Best Dressed: White Jaluo - Kumbuka yule mjaluo mwenye alikam ka ameNG'ARA all-white halafu sijui Judge Ian akamstua sana msee akabaki amejigwara kichwa! Yaani unaweza kladi hivyo, usimame kwa ile line ndefu the whole day ndio ujisugue kichwa! Kuwanga serious na maisha jamaa! Time is money!

Best Accent: Uganda - Hio accent ya wasee wa Uganda haijawai kosa kunibamba. Mtu wa Uganda akiongea, ni kama Mkikuyu amemunju Mkale na bado wanajaribu kubonga at the same time! Kama haujapata kutambua accent yao, unaweza cheki ile vida ya "Full Full Condition!" ama "Who Killed Captain Alex?" ama "Eat Da Pupu!"
Comments (1)
-
|Registered |2010-10-11 09:49:48 angelapana, this blog has totally killed me LOL!!!lakini its so true, these people dont have pals aki!
Powered by !JoomlaComment 4.0 beta2
| < Prev | Next > |
|---|
