K
una venye nusu mwaka ishapita, nimeona wacha niambie mafans juu ya ile ngoma mi na-feel ilinibamba the most. Bado kuna chance ya ngoma zingine kali kuliko hii kutokea, lakini as of now, hii ndio imeshinda zenye ziko saa hii.
Wacha tu niseme this year kumekuwa na fire kwa hii sector ya malocals. Last year ilikuwa imekaa Bongo ita-take over, lakini wasanii wa Kenya wamejitokeza vinoma na wamerudisha trophy ya East Africa nyumbani kwake. Juu ya hiyo story ilikuwa noma sana ku-decide ngoma gani itakuwa Song of the Year kwangu, lakini baada ya kutafakari vi-deadly choice yangu ni:
Sample hii verse kutoka Collo:
nilikuwa niki-daydream nikiwa mbinguni na E-sir/ nilipogonga hodi Poxi alinikaribisha kiti couch/ bas kaa na Wicky Mosh maybe yes/ Kinywaji nikaletewa na dada yangu Lady S/ King Kong alikuwa aki-unpack/ ku-settle in akisaidiwa na Frakaz/ aish.../ we've lost one too many!
Nuff said.
| < Prev | Next > |
|---|


