| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Site za Maradio Station Ziko Down!

K
umaanisha yaani ziko offline wasee, haha! Juzi nilikuwa narandaranda kwa net kama kawaida, ghafla nikacheki sites za Homeboyz na Capital hazifanyi jo!Na zimekuwa down siku kadhaa by the way, ni tu vile leo nikaona pengine kuna vile lazma nichore juu ya hii story ndio wale masonko wa Capital waishughulikie. Inakaa site ya Capital iko offline kabisa, na ile ya Homeboyz iko na shida ya webhosting

 

Homeboyz.co.ke

 

Capitalfm.co.ke

 

 

Wakina Rabar, "DJ CK", watu wangu... iko nini? Shughulikia hiyo story chap chap.


Related lyrics

Comments (2)
  • Anonymous
    Lakini honestly, apart from capitalfm site za kenya ziko down tu sana, and i mean down as in whack!! this site is crisp and clean, good job kenyanlyrics chora njia wasee wafuate.
  • Mgangagenge
    Thanks mazee! Na bado tutaendelea ku-improve. Sections kadhaa mpya coming soonest!
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 660 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)