| 
A+ R A-

Deprecated: Assigning the return value of new by reference is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 47

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 33

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/cedit_articlefooter.php on line 35

Deprecated: Function ereg() is deprecated in /home/forever/public_html/ghafla.co.ke/ghaflalyrics/plugins/content/extranews.php on line 142
(2 votes, average 4.00 out of 5)

Sasa Alaine Kameenda Hifyo Tuu!

M
asaa ilikuwa ni Sato. Nilikuwa na ushungu ya kuenda kwa hii mabo ya Alaine. Upaya sikuwa na silingi hata kamocha cha feya mwana hata kufika ningefika ache? Ilipiti tu nikaombeko kamia kamocha kutoka kwa chirani hapo karipu dio nikafike huko. Kwa roho yake musuri akanipa tu. Nikamushukulu sana na Mungu atamupariki mala mia!

Nilichakua sile nguo ampayo nitasivaa visuli sana. Nikachukua kale kajacket kangu iko na zipa kwa mufuko ndio nisisanyiwe pesa za chirani. Kuenda towni nikachukua ile matatu ya kuenda mpaka Kanifo dio nikaone kale kamurempo kangu Alaine. Kwa gari nikakaa karibu na kamtu kingine kalikuwa kamepepa kapahasha kubwa akaiweka chuu ya miguu yake.

Tukiwa njiani, bulathee akaansa kunisumbuasumbua na hiyo bidhaa yake, nikaona washa tu nimsogee visuli. Nikasogesha mkono yangu kitogo tu, dio aweke bahasha lake poa. Mimi saa hiyo ninafikilia tu mambo ya Alaine, sitaki kusubuliwa.

Kushuka matatu tu hifi, nikaamua kuweka mikono yangu kwa mufuko wangu. Nikahisi simu dio hiyo, na sile pesa za chirani... WOI, woi, woi! Nimeipiwa chameni! Mara hiyo hiyo nikachua ilikuwa yule fala kalikuwa kameketi na mimi kwa matatu mwenye ameniipia! Kupintuka  hivi nikamushika nikamwulisa,

"bulathee, washa musheso. Nipatie pesa sangu tu, tuwashe maneno migi."

Muchamaa akajitetea, kaniambia

"boss, hebu cheki kwa gari kama umeangusha hiyo kitu umesema..."

Nikaona kweli, nawesa kuwa nimeangusha pesa chini mtu akaichukua, WOI! Nikaluti mbio mbio hati kwa matatu kucheki kama pesa sangu pato silikuwa. Kuangalia, ng'o, hakuna kitu hapo! Nilikuwa nasikia kumtetesha kale kijana kalikuwa kameniipia pesa sangu lakini nikaona hata kama amechukua, hakuna njia ya kutambulisha kama ni pesa sangu. Nikashukuru tu file hakuwa ameipa simu ama Nashono IT yangu, nikaludi nyumbani na deni kupwa ya chirani.

Swali mimi najiulisa sasa ni... mbona mafans wa reggae hamwesi leta bidii? Kila mara ni kuipia watu kwa konsat, ama ni kufuta pangi hapo ndani na uchinga mengine mengi. Hata kama ni show ya mulempo kama Alaine, hamwesi kutulia?


Related lyrics

Comments (0)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 974 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)