L
eo nilikuwa najiuliza... hawa washindi wa Project Fame huendanga wapi? Mazee kila mwaka Tusker wanakuwanga wanatupeleka round kitu three months hivi tukiangalia ile progi yao alafu? Hata mgenge ka mimi saa hii nashindwa kukumbuka jina zao zote. Najua kulikuwa na Valerie Kimani, alafu Esther something(ule mresh mrefu kalikuwa virgoKumekuwa na seasons kadhaa za Project Fame tangu ianze, na hakuna mshindi mwenye amewai fikia mainstream bado. Nikifikiria hiyo story mi hujiuliza, hii progi inakuwanga ya kuundisha wasanii, ama ni ya kuuza Tusker? Na hii swali ni muhadhara juu kuna vile wale wasee hukuwa kwa ile compe wanawekanga life yao kando for three months, ndio wafuate dreams zao za kukuwa wasanii, alafu Tusker haileti bidii kuwa-promote vilivyo.
Lakini kuna vile wale washindi wa hiyo something hupewa 5m, kwa hivyo pengine hawajatendwa viiile. Mi ningepewa 5m... mi nazipeleka bank ukizipeleka bar.
Comments (3)
-
|2010-07-07 09:34:59 angelthey should just call it project FAIL!!juu hakuna Kenyan mwenye ametoka that show na amekuwa major like the way others wamejaribu kama Nakaaya wa TZ lakini truly hao wengine nimesahau....what a waste!!!
Powered by !JoomlaComment 4.0 beta2
| < Prev | Next > |
|---|
