W
atu wangu wa Facebook, niko sure ushawahi fanya blunder ka mimi uka-join group ya maDJ ndio uwa-support. Ghafla uki-join tu hivi unastukia "Inbox 1" mara hiyo hiyo. Kama kawaida, hiyo "Inbox 1" inakufurahisha juu unatarajia kuna mtu flani anakujalia mahali.
Wassup party people! You are now invited to come to the Dallas Memorial at Club Texas... bla bla bla...
Nilikuwa nadhani mrembo wangu amenihala kumbe ufala ka hii ndio napata! Hata sikuwangi naishi Statoe, mi ni msee wa Thika town, na unani-inbox invitation ya Dallas Memorial!
MaDJ, naku-support, lakini kama unataka kustua watu mara mob hivo, undanisha Fan Page basi! Ukiwa na Fan Page mafans wataona status updates zako ka zote, hautakuwa na haja ya kutumanisha inbox za ufala.
| < Prev | Next > |
|---|
