K
una madame wengine kwa mavida za Kenya wuuniudhi hadi naskianga kuvunja telly ya mine.
Dame, ka haukutaka kuwa kwa vida, ungekaa home basi! Hakuna space ya watu shy kwa mavida!
Tingisha haga ama uhame stage! Jua vida poa ni dough mob sana ku-shoot, na kuna venye vida siku hizi ndio ina-determine success ya ngoma ya msee. Kwa hivyo vida ikichapa hakuna place ule beste yako msanii ataenda. Fikirieni juu ya vitu ka hizo kabla mkuje kuboesha vida za wasee hapa! Nkt!![]()
Comments (3)
-
|2010-06-16 12:32:58 chakatrue,saa zingine wanaboesha vida na waholdiwa bash baadaye,so unfair.lakini ule dame wa "leo itakubambia wapi?"amekuwa akinipea sweet dreams ama tuseme beautiful nightmare since ako out if reach(out of ma league).yeye huwakilisha,best chick in a music video,she should b awarded,ama aje?
Powered by !JoomlaComment 4.0 beta2
| < Prev | Next > |
|---|
