| 
A+ R A-

(0 votes, average 0 out of 5)

Kura Kwa Mgangagenge!

S
emeni wadhii. Kuna vyenye hii blog, baada ya kuwa online kwa miezi kadhaa tu, ishapata nomination ya award fulani jo! Compe inaitwa The Kenyan Blog Contest. Ilianzishwa na boy anaitwa E. Gichomo. Alianzisha hii kitu hapo Twitter. Alikuwa na nia ya kushangilia tu vile wasee wa ma-blog wametoka farthest na pia alitaka ku-promote ma-blog noma noma za Kenya. Msee wenu Mgangagenge amekuwa nominated kwa categories mbili, Beauty Award na Action Award. Nipigie kura kwa hii link hapa:

http://egichomo.wordpress.com/2010/07/13/welcome-to-the-kenya-blog-contest/

Alafu unaweza fuatilia maendeleo ya compe yenyewe kutumia hii link ya Twitter hapa down:

#KEBlogContest

Hope next time ntachora juu ya hii story itakuwa juu ya mashindi!


Related lyrics

Comments (5)
  • angel
    congrats kwa kuwa nominated, kura kwako!!
  • Joliea
    Enyewe kura kwako. ata me niko mumo humo ndani tuko compe pamoja!
  • Mgangagenge
    Enyewe thanks watu wangu. Endeleeni kupiga kura viviyo hiviyo.
  • mchizan  - hi..mista majani
    congraats for the nomination and we shall continue to vote.keep it up
  • Mgangagenge
    Eish, Mista Majani ni nani tena? ;)
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 849 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)