| 
A+ R A-

(2 votes, average 4.50 out of 5)

KTN, NTV na Citizen waache jokes!

I
mekuwa months kadhaa tangu KTN na Citizen waliamua ku-replace zile progi zao za ma-video mix. Kuanzia, KTN waliamua kutoa H2O, wakarefusha Str8Up ikuwe ya one hour ama kitu ka hiyo. Basi H2O wakahamia NTV, wakapewa half an hour baada ya The Beat. Ghafla H2O ikatolewa na The Beat ikafupishwa ndio waeke nini? Zile soap za Mongolia! Madharau gani hiyo sasa mazee?! Yaani mliamua heri hizo malovey dovey za Asia kuliko Genge?!


Citizen nayo, walituletea Xtreem Live, progi kali tena sana ya ma-mix za wakina Creme de la Creme. Kuamua wakaamua aje? Ati watatoa ile Xtreem Live, waeke Tafrija! Boy wangu Ill Jay akani-show ati hiyo something ilikuwanga temporary, lakini wapi! Tafrija inafikia one year tangu ianze kuonyeshwa hapo six. Si ati nadharau ile ziki inaletwangwa Tafrija, lakini hiyo difference ni bwaku vizii. Mazee kuna vile naelewa mnajaribu ku-promote local talent, lakini si heri mnge-balance basi ka ni hivo? Badala ya kupatia Tafrija one hour, mngeweka saa nusu nusu kwa ngoma za wagenge na zile za huko interior, ama niaje?

 

Na-appeal kwa hizi maTV station bana. Uturudishie zile mix za six o'clock ndio mafans waeze kubangaisa poa baada ya siku ngum, au sio?


Related lyrics

Comments (2)
  • angel
    kweli, this was wrong but at least citizen have kubamba krew all morning on sundays? lakini enyewe, what happened to the mix shows?!is the code red show still there on sato morning? with Eve Desouza?
  • Mgangagenge
    Vibe City iko bado. Lakini mi siamkangi hizo masaa, hio ni mapema sana jo!
Write comment
Your Contact Details:
Comment:
Read : 1332 times
Ghafla!Lyrics (Kenya)