First of all wacha tuangalie hii story vile artist anaweza kuwa anaifikiria. Msanii amekuwa aki-struggle ku-record ngoma za kapuka. Mwishoni anasota mbaya mbovu. Akiangalia hivi anaona vile gospel siku hizi ndio inauza sana. Anaona mazee vile watu wa gospel hupata ma-show kibao za club na za church pia. Kuzidi, anaona vile ma-promoter wa gospel huwa ni ma-holy joe na huwa wanalipa wasanii saa zote, si kama wale ma-promoter fake wa kapuka. Pia ma-producer wa gospel wanadungia ma-artists wao recording deals smarter, juu kuna vile conscience yao inawa-show kusaidiana. Msanii akiona hizi factors zote, alafu aangalie vile ile sector ya kapuka inampeleka mbaya, unaona ata-do warr?
Obviously ataingilia hiyo sector ya gospel. Na vile Kenya inakuwanga na Wakristo most, hatapata shida mob kwa kuandika ngoma zake. Ku-spread gospel atai-spread, na wasee watakuwa inspired vile msanii ameweza kuona haja ya kuwa na J.C kwa maisha yake. Shida iko wapi basi?
Mi huona shida ni vile tu Mr. Googs alisema kwa ile ngoma yake "Gospel Celebrity":
Kama msanii kazi ni shows, hana time ya ku-preach hana time for the Lord...
Enyewe kwangu mi naona hii ndio chenye inaku-show kama msanii ako serious na ile story ya kuokoka ama in story na mkwanja tu. Akiwa anahubiria watu daily daily hivi, si ati ma-show pekee yake, huyo basi ndio unaweza sema ameokoka for real. Sa nawauliza... je, unajua msanii mwenye anahubiria wasee vilivyo?![]()
| < Prev | Next > |
|---|
